Kwani shida i wapi bidada...it's party time hivyo distance kuwa zero sio big deal
Mkunde Original hapa chini ni mchanganuo wa bajeti nakuhusu masuala ya vinywaji, Kuponi zitahusika:Habari zenu, mie nataka kujua party itaanza saa ngapi maana siku hiyo nina shuhuli kyanzia saa 4 usiku na siwezi kuimiss sasa kama jf party itaanza mapena nutaanzia huko kusha ikifika saa 3.30 niende kwente hiyo shuhulu ingine.
Pia mtu akilipa elf 30 anapata nini kama huduma? Namaanisha vinywaji aina gani na kiasi gani na chakula km kipo au ni bites. Au hiyo hela ni kiingiluo tuu ukifuka ndani unajinunulua vinywaji na chakula au mtindo wa kuponi unahusika? Nauliza hivi ili nijiandae nije na full wallet au nitakuta kanyela mumo yaani kila kitu ntapewa huko ndani tu my level ya satisfaction au kuna limit?
Samahani maana mwka jana sikuwepo hivo najitahidi nisimiss this year.
Mkuu Tuko tangazo la kwanza kuhusu hii Party nililiweka tarehe 3 Disembe 2013 hivo kulikuwa na muda wa kutosha watu kujipanga na kulipa mchango kwa ajili ya hii party lakini pia tulikuwa tunapokea maoni kwa hiyo kama mwezi huu haufai kwa sababu ya mambo ya ada wadau wangesema na tungeshauriana na kupanga tarehe nyingine

Chagua moja sikila mwana jf anasomesha ukiona vipi achana nayo starehe gharama ukisikia ndo hiyo hivyo acha wenyekutaka ku party waendelee sisi wengine February tunarudi makazini ulaya.
Chagua moja sikila mwana jf anasomesha ukiona vipi achana nayo starehe gharama ukisikia ndo hiyo hivyo acha wenyekutaka ku party waendelee sisi wengine February tunarudi makazini ulaya.
kumbe bahili afu huna hela loo
Sio lazima utumie real names labda kama mshafahamiana kitambo.Unam PM tu kuwa nataka kukulipia.So miss chaga atajua Tclevery kanilipia.
Mkunde Original hapa chini ni mchanganuo wa bajeti nakuhusu masuala ya vinywaji, Kuponi zitahusika:
Cocktail Menu kwa makadirio ya watu 40 watakaohudhuria.
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Mahitaji[/TD]
[TD]Idadi[/TD]
[TD]Gharama[/TD]
[TD]Jumla[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ukumbi[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bites[/TD]
[TD]Kwa watu 40[/TD]
[TD]@15,000/=[/TD]
[TD]600,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vinywaji[/TD]
[TD]Kwa watu 40[/TD]
[TD]Beer 4 @3,000/=[/TD]
[TD]480,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vinywaji Vikali[/TD]
[TD]Chupa 5[/TD]
[TD]@30,000/=[/TD]
[TD]150,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Corkage kwa vinywaji vikali[/TD]
[TD]Chupa 5[/TD]
[TD]@10,000/=[/TD]
[TD]50,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[TD]Jumla[/TD]
[TD]1,280,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa mchanganuo huo unaweza kuona kwamba kwa mchango wa shilingi 30,000 kwa kila mtu tunaweza kufanikisha hafla hiyo.
Baadaye nitaweka uzi maalum kuelezea ratiba kamili na namna ya kupata kadi itakayowatambulisha wahudhuriaji waliotoa mchango.

Such a nice interview never seen b4,never get tired of reading ur answers @lara1 by the way lazima nije hata kwa crush program uniwie radhi kwa hilo.kwa kumalizia hongera Watu 8 kwa kuanzisha uzi huu hope umesaidia wengi