JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Sio lazima utumie real names labda kama mshafahamiana kitambo.Unam PM tu kuwa nataka kukulipia.So miss chaga atajua Tclevery kanilipia.


Kwani mtu akijulikana ndo anakuwaje??

Akiona vipi baada ya party anafungua ID nyingine....

Hii ndo JF bwana......

Mie lazima nije na timu ya wajukuu zangu!!

Babu DC!!
 
Mkuu lara 1 tafadhali tunaomba angalizo katika dressing code, make last year ilikuwa WHITE PARTY dressing code ikawa WHITE. Vipi this year???

charminglady wewe tupia tu kivazi cha ufukweni itakuwa pouwa tu, si ushaambiwa ni mambo ya ufukweli Kawe Beach, hata ukivaa kama vile unakwenda kwenye ngoma ya msuto wa Mkodobwe itakuwa pouwa tu, miye mwenyewe nitatupia zangu DERA langu la Hudhurungi utanitakaaaaaa

Mbona mimi nimeambiwa kuwa mavazi ni maks/madera kwa akina mama na pekosi (wababa)+ laizoni?

Ila kama ni yale mavazi ya ufukweni kama wanavaa watoto wa Lundenga basi siji....

Babu DC!!
 
intavuu na huyo muongozaji yahitaji moyo sana namasteee..
 
Habari zenu, mie nataka kujua party itaanza saa ngapi maana siku hiyo nina shuhuli kyanzia saa 4 usiku na siwezi kuimiss sasa kama jf party itaanza mapena nutaanzia huko kusha ikifika saa 3.30 niende kwente hiyo shuhulu ingine.
Pia mtu akilipa elf 30 anapata nini kama huduma? Namaanisha vinywaji aina gani na kiasi gani na chakula km kipo au ni bites. Au hiyo hela ni kiingiluo tuu ukifuka ndani unajinunulua vinywaji na chakula au mtindo wa kuponi unahusika? Nauliza hivi ili nijiandae nije na full wallet au nitakuta kanyela mumo yaani kila kitu ntapewa huko ndani tu my level ya satisfaction au kuna limit?
Samahani maana mwka jana sikuwepo hivo najitahidi nisimiss this year.
 
charminglady wewe tupia tu kivazi cha ufukweni itakuwa pouwa tu, si ushaambiwa ni mambo ya ufukweli Kawe Beach, hata ukivaa kama vile unakwenda kwenye ngoma ya msuto wa Mkodobwe itakuwa pouwa tu, miye mwenyewe nitatupia zangu DERA langu la Hudhurungi utanitakaaaaaa

Dah... Mtihani dada mkubwa....

Unamaanisha nivae hivi??? Kama vipi niwekee picha, hujui mie natoka huku IKUNGULYABASHASHI hata hakuna sijui Mabeach....

beachwear1zd.jpg
 
Last edited by a moderator:
Babu karibu sana side hii ya nchi, mwambie bibi akuje afungue ID mpya JF bado haijajaa atiii

Duuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh,

Libarikiwe tumbo lililokufikisha kwa hii dunia......

Natamani nikuone tena tuendelee pale tulipoishia....

Bahati mbaya nasikia Bibi haruhusiwi kujwa kwa party nad mie ndo hivyo tena.....lol!!

Babu DC!!
 
Sipati picha hapa amu ashakolezwa na Govinda Kumar.... Hajui be wala che ni kusasambua kwa kwenda mbele!!!!


Gracie-Carvalho-Calzedonia-Beachwear-2012-1-940x1293.jpg
 
Last edited by a moderator:
Tahadhari... Najua wanaume wengi humu mna hamu sana ya kumuona lara moko....

Kanitonya kuwa atakuwa na mbwa mkali sana kwa ajili ya ulinzi...

Hamkawii kuwa chakula chake ohooooo!!!!!

beachwear.jpg
 
Morning mlimbwende...

Hebu share nami basi hilo cheko lol...

he he badiebey akikuona lazima afaint mi sisemi bwana nsije nkakujazia pm afu wakakubook mapema nikose wa kushea nae juice akuuu
 
Last edited by a moderator:
charminglady naomba poo nsipigwe ban ngoja nimtukane boss wangu .....***** wallah kwa kuweka mkutano saturday,sunday tarehe ya party vya siasa vinaboa sana.
....mamaye zake
 
Last edited by a moderator:
charminglady naomba poo nsipigwe ban ngoja nimtukane boss wangu .....***** wallah kwa kuweka mkutano saturday,sunday tarehe ya party vya siasa vinaboa sana.
....mamaye zake

Daaaah... I wish to see u jamani mamito!!!

Khaaaa... Ngoja nikusaidie kumtukana !($#-#=*=;-/($¤¤€¤£%~ zake!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom