JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Hahahaaaa! SIO LAZIMA! Mnawasilana na Miss Chaga then unamlipia Zubeda ! Sisi tutakupa kadi ya Zubeda, baaas! We a chaga ndo mtajuana kama ni zubed kweli au masikhara!

hapo lazima real names zihusike hamna ujanja...anyway kwa wababes natoa real name sio issue...
 
Hili litakuwa swali langu la mwisho kwa siku ya leo, najua kuna wadau kadhaa umeshawatia machoni nikiwemo miye muendesha interview hii...

Sasa pengine kuna wadau wengine kadhaa unatamani nao uwatie machoni panapo majaaliwa...

10. Who are you looking forward to meet this year?
 
hili swali la mwisho lol,ngoja nisubirie jibu then ndo nikalale
 
mimi natamani nikuone wewe.

hata mm natamani sana kumuona huyu mdada na lara1. nikimuona lara18 sijui itakuwaje.naona nitamkodolea machi mpaka atanishtukia maana comments zake ziinanikosha sana hahaha
 
du yaaani nimepata motivation ya ajabu kuhudhuria hiii party although sina kampan lakini ntakuja tu kila kitu kitajulikana huko huko ndani ya escape kubwa la maaadui me mpaka jumatatu ntakuwa nishatengeneza p. o.box yangu
 
Very nice,tumeelewa mengi,kiukwel raha ya JF u get to mingle na watu ambao probably usingewah mingle nao all ur life...kudos waandaaji,UR THE BEST...
watu8 una style flan hiv ya kuandika kama ya mtu flan hivi cjui,ndo weweee,...mana nna bonge la 'crush' naye
 
Last edited by a moderator:
du yaaani nimepata motivation ya ajabu kuhudhuria hiii party although sina kampan lakini ntakuja tu kila kitu kitajulikana huko huko ndani ya escape

Ukuje bi mkubwa watu wa JF wapo charming sana...

Nikiandika idadi ya watu ninaofahamiana hapa personally nadhani utabakia kinywa wazi...
 
Binamuuuuu....

cc: Mtambuzi

Nimeshatuma mchango wangu hivi punde shilingi 33,000 na jina litakalojitokeza kwenye simu ya M-Pesa ni Salha Abdulwaheed..

Naomba confirmation please kwa mkusanya michango
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh!!!

Uandishi wangu wafanana na nani tena bi mkubwa?

Ukuje fukweni basi upate kunikodolea macho (u won't regret kama huamini muulize lara 1) :becky:

watu8 una style flan hiv ya kuandika kama ya mtu flan hivi cjui,ndo weweee,...mana nna bonge la 'crush' naye
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom