mwakichi
JF-Expert Member
- May 14, 2011
- 417
- 97
Hujui ulinenalo...
Mkuu jibu hoja,
Bajeti,enterteinment gan ipo?
25k cyo lelemama
Hujui ulinenalo...
Namasteeeeeeee!!!
Hapa mjengoni nipo na bibiye lara 1 ambaye ni mmoja wa organizer wa mjumuiko wa raia wa JF wa mkusanyiko unaotarajiwa kutaradadi siku ya tar 25 mwezi huu huu wa Januari ndani ya Escape Moko pande za Kawe Beach...
Bi mkubwa huyu atajibu baadhi ya maswali yangu ili kuondoa kizungumkuti kilichopo kwa members wa JF wasioelewa utamaduni wa huu wa watu waliopo nyuma ya keyboards kujumuika liveeee bila chenga...
Angalizo:
Wadau wengineo naomba tuwe na subra kidogo, kama utakuwa na swali basi waweza liweka kiporo na kuliuliza baada ya mimi kumaliza interview hii.
Party ni yenu ninyi wadau hivyo kila shauku yenu itapata jibu stahiki, uzi huu utaendelea kuwepo hadi siku ya party hivyo swali lako litapewa tiba tu!!
NB:
Mtaopenda kuhudhuria tuma 30,000 TSH yako kwa moja ya namba hizi 0715729292 - TIGO PESA na 0752729292 MPESA, hakikisha unaongezea na service charge kwa ajili ya kutolea hiyo pesa.
Karibuni....
Omamaaa!!! ngoja niachane na hilo la mabebs wa ukweeh maana hadi sharubu zangu zimecheza baada ya kuhakikishiwa watatua kutoka kona mbali mbali za Tanzania....sijui Dr Preta atakuwepo au binamu Zinduna...mmmh!!!
6. Hebu nitoe shaka katika hili, unaongeleaje maandalizi kwa ujumla?
Wadau wawe na matarajio gani?
watu8....humu JF wengi hatufahamiani[wengine wanafahamiana,mimi simfahamu hata member mmoja humu] sasa kuna tofauti gani ya mimi kuja ESCAPE 1 where i'll meet total strangers na mimi kwenda sehemu nyingine za starehe where i'll meet total strangers as well???
Habari zenu waratibu, mdhamini (sponsor) ana nafasi yeyote kwenye party yenu au hamtaki?
usjali mamie utakuwepo escape? siku hiyo ni full bata ngoja nikutext
Ahsante, japo fikra zangu zilikuwa kitu kikubwa kidogo zaidi ya hiyo entrance feesKama una udhamini wowote labda udhamini watu kwa kujitangaza kuwa utawalipia watu kadhaa kama kwamtoro alivyofanya....
Mwisho wa siku hela hiyo utayowalipia hao watu walio tayari itatumika kwenye maandalizi kama michango mingine...
It's just a get together gathering buddy...
Kama sherehe au makutano yoyote yatakuwepo basi taarifa huwekwa hapa mbele ya kadamansi...