badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
wacha we...!
chezeyaa beach babies
wacha we...!
Such a nice interview never seen b4,never get tired of reading ur answers @lara1 by the way lazima nije hata kwa crush program uniwie radhi kwa hilo.kwa kumalizia hongera Watu 8 kwa kuanzisha uzi huu hope umesaidia wengi
Mkuu Tuko tangazo la kwanza kuhusu hii Party nililiweka tarehe 3 Disembe 2013 hivo kulikuwa na muda wa kutosha watu kujipanga na kulipa mchango kwa ajili ya hii party lakini pia tulikuwa tunapokea maoni kwa hiyo kama mwezi huu haufai kwa sababu ya mambo ya ada wadau wangesema na tungeshauriana na kupanga tarehe nyingine
Chagua moja sikila mwana jf anasomesha ukiona vipi achana nayo starehe gharama ukisikia ndo hiyo hivyo acha wenyekutaka ku party waendelee sisi wengine February tunarudi makazini ulaya.
Umeamua kuja na ID yako ya zamani baada ya kutumia mpya sasa unaona kwenye maswala unayofahamika unatumia hii ID???Saa huyo Tuko sh,30,000/ inaweza kukusababisha usisomeshe watoto??Halafu we Madame B unajuaje kama mimi nimeenda jando la ukubwa??wakati ujawahi kuwa nesi wangu wakati nakuja kufanya dressing??(Mabwaku)Halafu mko wengi mna ID mpya kwa hii JF Party ndo mmeibuka ukiuliza eti ubusy ndo unawafanya msiwepo kwenye jukwaa kumbe mnashinda humu na ngozi ya kondoo!!:becky:Tangu uende jando la Ukubwani umekuwa jeuri sana weye
Ebooooooooo.
Mpenzi Tuko usijali......tutashinda wote kijiweni.
Pole na majukumu, but itakuwa usiku au napo utakuwa busy still?
Umeamua kuja na ID yako ya zamani baada ya kutumia mpya sasa unaona kwenye maswala unayofahamika unatumia hii ID???Saa huyo Tuko sh,30,000/ inaweza kukusababisha usisomeshe watoto??Halafu we Madame B unajuaje kama mimi nimeenda jando la ukubwa??wakati ujawahi kuwa nesi wangu wakati nakuja kufanya dressing??(Mabwaku)Halafu mko wengi mna ID mpya kwa hii JF Party ndo mmeibuka ukiuliza eti ubusy ndo unawafanya msiwepo kwenye jukwaa kumbe mnashinda humu na ngozi ya kondoo!!:becky:
Siku ya VALENTINES day ingekuwa powa.
nashindwa namna ya kukujibu ila jua sitakuwepo nitakuwa nimechoka sana bestito
Mkuu ulikuwa hujui hapa ni kanzu lakini mashehe ndo walewale!!Umenifumbua macho mkuu,
Kumbe hapa tunadili na wazoefu katika jezi mpya??
Unaanza kunishawishi nije kwa party....
Babu DC!!
Pole sana kwa huo uchovu utao kuwa nao. Usikonde utapata mapicha sio mbaya napo although sura yako haitakuwepo.
Una akili sana mjukuu wangu....
Ndiyo maana una seat ya pekee nyumbani kwa bibi!
Babu DC!!