Nimeshatuma mchango wangu hivi punde shilingi 33,000 na jina litakalojitokeza kwenye simu ya M-Pesa ni Salha Abdulwaheed..
Naomba confirmation please kwa mkusanya michango
Yaani umekuja halafu hujanitafuta.......
Utanitambua ......!!!!!!!!!
wakati nakuja wewe ulikuwa gombe bana.Kumbuka
Ooh!!! yeah be my guest miss neddy
Mmhh hivi sijui kama utazishinda aibu za Jeska...btw hicho kiota kinawafaa sana ninyi wenye aibu lol
Mhhhhhhhhhh! badiebey! Usije tu kujikuta unatoa ofa ya PROMOTION pasipo kukusudia! Mwenyewe nilikodoa mijicho kama mjusi kabanwa na mlango! Hahahaaa! 6 PACKS Wazijua wewe bibie? Mi simooooo!
sasa kumbe! Si unajua tena wakupiga naye story mbili tatu!! Ntakaaje mwenyewe!!
ohoooo munkari ntakupm hiyo siku tuwe pamoja angalau tuwe tunanong'onezana manaana mambo ya kuangaza macho ka bundi haihuuuuu
hakuna ulazima! Si unajua tena mara oh umependeza,unafanana na dadangu! Story full Khaa! Ebu nitafutie a lady miye 2jimuvuzishe zetu beach!
yalaaah,na six packs juu,sijui ndo mhusikaa watu8...mana ana mwili wa mazoezi ,japo sijawahi muona bare chested nithaminishe km zipo kweli...
Ha ha ofa ya promo hakuna atii,namba zenyewe had nimpe mtu mbindee
Namaanisha kiota cha Escape 1 bi mkubwa, maana nyakati za jioni huwa kuna mwanga hafifu kidogo.
Kiota ni rejesta ya mtaani ikimaanisha sehemu ya kushereheka..
ahaaaaaaaaas hapo sawa itabidi hiyo siku uwe around me unipe somo jinsi ya kutumia fursa
.
halafu watu8 mambo ya kuitana bi mkubwa tunazeeeshana bwana hiyo inatumika kwa watu wa 40+
me niite bidada sawa eeeeeeh
Karibu bi mkubwa, hahah tusiandike mengi sana hapa!!!
Basi ungejuwa hata hao malady wanaweza kutumika kama kuwadi...loh!!
So either way mwanaume ana mbinu nyingi bi mkubwa muhimu ujue wataka nini..
Hahah nitakuwepo sio tu around bali hata zero distance ukitaka...
Sorry nimekulia pwani miye na nimelizoea hilo neno na hulitumia kwa mwanamke rika lolote ila kwako weye nitakuita bidada usijali...
Cheers!!
aisee! Kuuumbe! Basi wacha nitokelezee kivyangu! Mweh! Btw-2naruhusiwa kuogelea huko?
Habari zenu, mie nataka kujua party itaanza saa ngapi maana siku hiyo nina shuhuli kyanzia saa 4 usiku na siwezi kuimiss sasa kama jf party itaanza mapena nutaanzia huko kusha ikifika saa 3.30 niende kwente hiyo shuhulu ingine.
Pia mtu akilipa elf 30 anapata nini kama huduma? Namaanisha vinywaji aina gani na kiasi gani na chakula km kipo au ni bites. Au hiyo hela ni kiingiluo tuu ukifuka ndani unajinunulua vinywaji na chakula au mtindo wa kuponi unahusika? Nauliza hivi ili nijiandae nije na full wallet au nitakuta kanyela mumo yaani kila kitu ntapewa huko ndani tu my level ya satisfaction au kuna limit?
Samahani maana mwka jana sikuwepo hivo najitahidi nisimiss this year.