Hahahaaaa! M babes banaaa, uitikio wao unaridhisha sijui niseme unaridhishwa maana kwa kulipiwa hawajambo hao! Hahaaaaaa! (Menyewe nimelipwa mie yakheeeeeee!) Yah! But kusema kweli wananishangaza jinsi walivoitoa kusupport hii kitu!
Kuna MBABE wa mwana she actually has bought a ticket already, kalipa kila tu! Kuna MBABE wa A -Town nae keshalipa na anadondoka! Sasa hadi MABABES wa mkoani wanadondoka THIS NO SMALL THING OOOOOOOOOOOOOH! HEEEEEEEEEEEY!!!!!!! Na BIG GIRLS TINS!!!!!!!!! (Watafikia oteli gani MNITUE KABISAAAA)
Yah kusema kweli muitikio unaridhisha sanaaa! TOTOS zina P.O.BOX!!!!!!!!!!!! Zina maka FLIPORA!!!!!! Chezeya kutketeza kitita kwa party ya JF! Wapi Mamaaaaaaa..........pande za Mwanza????????
Pia nawaencourage wanaume muwalipie MABABES wengi zaidi ili twende sawa ukumbini! Its not like ukimlipia ndo u own her au aje. But its time to show YOUR GENTLENESS!!!!!!!!! "BWANA KUBWA LA MADUI NIMEKULIPIA NO STRINGS ATTATCHED NATAKA TUBADILISHANE MAWAZO MAWILI AU MATATU TU KWA PARTY" Aaaaaaaaw!!!!!!!!! He is so damn sweet! He mightbe the kind of my man! (MLIO OA HILI HAIWAHUSU!)