mmmmh!!haya masanza kona!!!!haya karibu mi nimehama toka pandagi chiza niko nguryati!!!Kuna watu wanafekisha hadi desi deti zao humu
Kimeo chako kitakuwa kimeo kweli, nipo Masanza Kona
Aliyeingia mitini ni Jakaya Kikwete kumkimbia Dr Slaa kwenye Mdahalo, sikuona sababu ya kupoteza muda wangu kufanya Debate between truth and Propaganda.Sijaona cha maana. Matola umesahau alivyoingia mitini?
Aliyeingia mitini ni Jakaya Kikwete kumkimbia Dr Slaa kwenye Mdahalo, sikuona sababu ya kupoteza muda wangu kufanya Debate between truth and Propaganda.
Hakuna MwanaCCM yeyote humu JF mwenye uwezo wa kufanya Mdahalo zaidi ya Mchambuzi. namuheshimu sana MwanaCCM huyu na siyo nyinyi vibaraka empty stomach.
Aliyeingia mitini ni Jakaya Kikwete kumkimbia Dr Slaa kwenye Mdahalo, sikuona sababu ya kupoteza muda wangu kufanya Debate between truth and Propaganda.
Hakuna MwanaCCM yeyote humu JF mwenye uwezo wa kufanya Mdahalo zaidi ya Mchambuzi. namuheshimu sana MwanaCCM huyu na siyo nyinyi vibaraka empty stomach.
Mkuu Matola naona umempa za usoni. Binafsi ukiona sijibu post ya mtu ahata baada ya kumwelewesha jua kishaingia kwenye Ignore list yangu.
Wahenga walisema ukibishana nao people may not notice a difference. Kakomalia hoja ambayo thread kuu na links zake zinamajibu ya kina. Anaiponda thread lakini hachomoki humu. Sitopoteza muda wangu hasa baada ya kupitia posts zake nyingiiiii "za maaaaanaaaa saaaaana"
Superman please pitia hii thread kuna wafadhili wengine wawili wameshajitokeza hapo juu ili uwaweke kwenye kumbukumbu zako.
Mkuu Zogwale; hilo ni gumu wakati mwingi. lakini busara za Tume ya Uchaguzi na Judges itasaidia kwa kiasi fulani kupunguza kasoro kama hizo japo nakubali kuwa ni changamoto kubwa.
Je una maoni gani kama tuki-introduce na upigaji kura kwa njia ya simu ili kuongeza wigo?
kwaasha mbe
REMSA huyu ni muasisi.... Lol. Muasisi hastaafugi, hata asipokuwepo akawepo mwingine lazima awepo ku delegate. Sasa vipi utasaidia kwenye ufadhili kidogo?Kwani mwenyekiti bado hujastaafu?au uenyekiti wako ni miaka mingapi?katiba ya JF inakuruhusu
kuendelea kuwa mwenyekiti hata kama hatujakuchagua tena?
Hivi wale uliwapa zawadi zao kweli?
nyabhingi hebu acha ukorofi... Hivi kuhusudiwa unakuwa ni mchawi?! Lol...hivi huyu ashadii kawaroga humu?kila mtu anamhusudu!
angalizo:kwenye kuhesabu kura hawa wasishiriki kutokana na historia yao kwenye chaguzi...ritz,zomba(sijui kafia wapi siku hizi)tume ya katiba,chama..tafadhali superman zingatia hili
ana sauti tamu kama kinanda siku zile nimefiwa nilikuwa najiliza ,aksudi ili anipigie yaani kila saa anapiga nilikuwa nafurahije? jf bwana sitowasahau kuna majembe sana humu
AshaDii ahsante sana kwa kuona chochote ktk mchango wangu na kuamua kwenda mbali zaidi kwa ku suggest jina langu.Pia si haba nikikiri kuwa mimi ni mgeni ktk haya ,kwa muda wangu wote hapa JF sikuwahi kuwa active sana ktk hili.Pengine sina haja ya kutoa jina langu just because sijui, kama sehemu ya kujifunza the otherside of the the life napaswa fuatilia kw auamkini n akufahamu zaidi.Personally na nominate the following; Jukwaa letu pendwa la MMU Wanaume Mtambuzi SnowBall Eiyer Wanawake gfsonwin lara 1 Smile Natalia Jukwaa la Siasa Wanaume Mkandara Yericko Nyerere n00b Nicholas Nguruvi3 JokaKuu Wanawake Ciello gfsonwin Esther Wasira Man of the year Father of All Kiranga jmushi1 Rutashubanyuma EMT Woman of the year gfsonwin Mwali King'asti Mwa J
ha ha ha! Wewe Smile!!? Khaaa! Nimecheeeka hadi baaaas! I am humbled. Ukiisikia ya Nyani Ngabu basi ndio utadata kabisaaa! Lol
Personally na nominate the following;
Jukwaa letu pendwa la MMU
Man of the year
Father of All
Kiranga
jmushi1
Rutashubanyuma
EMT