JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

AshaDii ni Jembe la JF. Mimi namhusudu sana (I mean kwa namna nzuri). Leo naonana naye Rouge The Kilimanjaro kwa mashauriano! Hila hajathibitisha muda!
ana sauti tamu kama kinanda siku zile nimefiwa nilikuwa najiliza ,aksudi ili anipigie yaani kila saa anapiga nilikuwa nafurahije? jf bwana sitowasahau kuna majembe sana humu
 
ana sauti tamu kama kinanda siku zile nimefiwa nilikuwa najiliza ,aksudi ili anipigie yaani kila saa anapiga nilikuwa nafurahije? Jf bwana sitowasahau kuna majembe sana humu
katika majembe na mimi nimo Smile au exclusive hahahahahaah hujambo lakini wewe smile wangu
 
Last edited by a moderator:
ana sauti tamu kama kinanda siku zile nimefiwa nilikuwa najiliza ,aksudi ili anipigie yaani kila saa anapiga nilikuwa nafurahije? jf bwana sitowasahau kuna majembe sana humu
Na yangu ikoje mrembo?

sijambo shikamoo babu yangu,nipendekeze basi nigombee,
Hehehehe vuta pumzi. Ngoja nifuatilie mabandiko yako kwenye jukwaa la siasa.

Ntakuchapa, kazi kusalimu warembo tu

Afu inabidi unigawie hiyo status, japo niwe JF Coal Member
We sitakugawia bali ntakuambukiza. Hebu naomba mwongozo kwa nivea hapo, nijaribu bahati yangu?
 
Last edited by a moderator:
weee ukosekane tena hivi jana sijakutumia sms usiku?

shost wangu ile simu yenye chip ya voda niliisahau kwenye gari la shost wangu mmja na hajaniletea ila ipo offline kama ulinitumia sms akiniletea nitaipata tu .
 
Na yangu ikoje mrembo?

Hehehehe vuta pumzi. Ngoja nifuatilie mabandiko yako kwenye jukwaa la siasa.

We sitakugawia bali ntakuambukiza. Hebu naomba mwongozo kwa nivea hapo, nijaribu bahati yangu?
kule siasa niliachana napo kule kulikuwa kunanishushia heshima yangu hahahahah jaribu kucheki mwenyewe napitaga tu nasoma sichangii maana ntaharibu
 
Last edited by a moderator:
shost wangu ile simu yenye chip ya voda niliisahau kwenye gari la shost wangu mmja na hajaniletea ila ipo offline kama ulinitumia sms akiniletea nitaipata tu .
ok dear sikukuu wapi sasa
 
90% ya "woman" wa JF ni "man", na sijui "man" wangapi ni "woman"?

Sioni significance ya hayo muyafanyayo, inaonesha vijana mpo idle sana na badala ya kuwa na fikra za maana nyie oohh, sijui "man" of the year, "woman" of the year, inahusu nini na ina faida gani?
Kongosho hamnaga button ya unlike au dislike:A S angry:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom