JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

Dada AshaDii umenifanya niiisome mara mbili mbili hii thread....na nimeangalia vigezo na masharti na kujipima...lolz
Anyways sasa naamini kuwa kumbe mtu unaweza kuwa hujioni ila wengine wanakuona...Ahsante sana kwa kuona nafaa kuwepo kwenye kinyang'iro.................
 
Last edited by a moderator:
AshaDii thanks sana dada nkubwa.
mmh! nimefurah kuona nina chango kiasi cha mtu kaka wewe kunipendekeza. si unajua hadi mke mwenzio akupendekeze basi sharti uwe umemkuna kweli. lol!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Bro Superman naomba nikushukuru kwa kusimamia hili shindano..i also have some ideas about this..conglats!

Back to the topic naomba nitoe mapendekezo yangu.................

KING of MMU..... Mtambuzi , HorsePower and Eiyer

QUEEN of MMU... lara 1 gfsonwin , snowhite

MALE POLITICIAN... Mchambuzi , Yericko Nyerere , chama

FEMALE POLITICIAN... Ciello , AshaDii

Overall woman of the year ... AshaDii , gfsonwin

Overall Man of the year ... Mtambuzi . Yericko Nyerere, Kiranga and Erickb52

Ahsanteni!..nimemaliza!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa JEC, kama ikitokea nafasi yoyote iliyo achwa wazi kwa upande wa wanawake naomba Karucee asiachwe!
 
Last edited by a moderator:
AshaDii Shukurani kwa kunifikiria kwa taadhima kubwa.

Mie naomba nijitoe kwani sijaona mchango mkubwa nilioutoa kupewa heshima hii.

Pope Kiranga ChaNgeda Sangala Kandumbwa wa Pazi.


Samahani Kiranga... Jana I was tired, nikaishia ku acknowledge post yako kwa 'Like'. Kama sababu ni kuwa hujaona mchago uliotoa, basi sio sababu tosha. You have great input... Hii ni kwa mtazamo wangu na naamini wapo wengi wanakubali. Na la muhimu... You fit the criteria. Please... Iache kama ilivyo, tuone itakuwaje.
 
AshaDii ahsante sana kwa kuona chochote ktk mchango wangu na kuamua kwenda mbali zaidi kwa ku suggest jina langu.Pia si haba nikikiri kuwa mimi ni mgeni ktk haya ,kwa muda wangu wote hapa JF sikuwahi kuwa active sana ktk hili.Pengine sina haja ya kutoa jina langu just because sijui, kama sehemu ya kujifunza the otherside of the the life napaswa fuatilia kw auamkini n akufahamu zaidi.
Nicholas... Nashukuru kwa positivity within you... This thing is just a way of fun na sisi kama Jf members to acknowledge one another... Pamoja saana.

Happy holidays to you and your loved ones.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii nashukuru kwa kuuona mchango wangu.Umemaliza mwaka kwangu kwa kunipa heshima kubwa. Kama father of all nashukuru pia kwa niaba ya mama yenu na nyinyi wanangu wote. Sina jinsi ya kueleza furaha yangu na jinsi ya kukulipa bali kumuomba Rabuka mwenyewe akulipe kwa kuwa mtoto mwenye heshima anayeheshimu na kuthamini wazazi wake na wenzake. Happy New Year and Merry Xmas.


Kama mtoto nitumie nafasi hii kueleza I will miss the old avatar... Naona it suits you better sababu it was unique as opposed to this one ambayo wanatumia wengi, Hata only83 ana the exact same image... Lol.

Enways I am glad you have acknowledged my acknowledgement of you... Pamoja saana, na regaards na happy holidays to your loved ones.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Da AshaDii kwa kuuona mchangao wangu humu JF, kusema kweli baada ya kuona umetaja jina langu ilibidi nisome sifa na vigezo vya kuchaguliwa, lakini kama vile haitoshi, ilibidi nipitie thread zangu za nyuma ili kujipima na kujiridhjisha kama nastahili........

Nakushukuru kwa kuliona hilo.

pamoja daima dada.

ha ha ha.... Mtambuzi najua wajua jinsi gani nakukubali in the lines of input yako. Wewe kuwa King of MMU is inevitable, but nisiseme saana, let the voters decide on that. Pamoja saana Mtambuzi. Kisses to the youngest member in the family, umpe hongera for celebrating Christmas yake ya kwanza.
 
AshaDii thanks sana dada nkubwa. mmh! nimefurah kuona nina chango kiasi cha mtu kaka wewe kunipendekeza. si unajua hadi mke mwenzio akupendekeze basi sharti uwe umemkuna kweli. lol!

Watu huwa tunaogopa uke wenza sababu ya mikeke ya mke mwenza na ile ya kusema mume anabadilika na kubadilisha muelekeo. Sasa inapotokea nimebahatika kupata mke mwenza ambae ananiheshimu, kafanya mume awe na upendo zaidi, tunapatana kama vile mdogo wangu.. Utakosa kunikuna kweli?! Lol...

Nakukubali saana Gf mdogo wangu. All the best katika mchakato...
 
Mdogo wangu gfsonwin na kakangu SnowBall... Naomba niwarekebishe kidogo katika nominations ambazo mmefanya...

Mimi AshaDii na Mchambuzi hatuna vigezo vya kutosha kuwa nominated. Sababu kubwa ikiwa wote tulikuwa washiriki mwaka jana na tulibahatika kushinda wadhifa tulioshindanishwa. Asante kwa wana Jf na jitihada zao.

Upande wa Mtambuzi, Erickb52 ama n00b (mnisamehe wakuu sio kwa niya ya kuwavurugia) kuwa Jf overall man of the year nayo pia itakuwa tatizo sababu hawa hawakidhi moja ya kigezo kikubwa cha kuwa overall... Na hio ni participation yao ya mara kwa mara zaidi ya majukwaa walau matano.

Katika category ya Jf woman of the year nilisahau pia Kaunga... She deserves to be in the list.

Hopefully mmenipata vema.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii nimekusoma mpendwa kuhusu 'nominees'....ila kusema kweli kwa kigezo cha kutamalaki majukwa mengi walau matano bado wewe hauna mpinzani..najua wengi wetu tukijtuma labda mawili au matatu..nadhani waandaji itabidi waangalie vizuri hiki kigezo..mfano hata Mchambuzi ukiacha GT na Jukwaa la siasa sidhani kama anapatikanaga MMU (ambalo baada ya siasa i guess ni jukwaa la kubwa linalofuata)..but Erickb52 namuonaga CC , Jokes, JKLW na MMU.......hebu nipe ufafanuzi zaidi mpendwa..............................
 
Last edited by a moderator:
AshaDii nimekusoma mpendwa kuhusu 'nominees'....ila kusema kweli kwa kigezo cha kutamalaki majukwa mengi walau matano bado wewe hauna mpinzani..najua wengi wetu tukijtuma labda mawili au matatu..nadhani waandaji itabidi waangalie vizuri hiki kigezo..mfano hata Mchambuzi ukiacha GT na Jukwaa la siasa sidhani kama anapatikanaga MMU (ambalo baada ya siasa i guess ni jukwaa la kubwa linalofuata)..but Erickb52 namuonaga CC , Jokes, JKLW na MMU.......hebu nipe ufafanuzi zaidi mpendwa..............................

Ukisikia kujikamata ndio huku... Lol. Matano ni mawili yanakuwa sio relevant saana ila matatu relevant. So kama huyo member yupo constantly JLS (Jukwaa la Siasa) na MMU na jukwaa lingine lolote analopenda kama vile GT (Great Thinkers), Jamii Photos, Jf Doctor or hata Business and Economic Forum.. Kwa kiasi kikubwa anakuwa na kigezo. That is to say kuwa anaweza kuwa hata active majukwaa ma 3 but JLS na MMU zikiwa main.

In that case you will note kuwa hayo majukwaa hufanya members kumfahamu kwa ukaribu mhusika... Mfano Father of all na Kiranga wanafahamika vema MMU na JLS sababu kote wanashiriki among other jukwaas.

In that case nimeeleweka Snowball? Usisite kama bado hujanipata.
 
Worry not nitatafuta nyingine. Nashukuru kwa ushauri wako. Nitaufanyia kazi.
Kama mtoto nitumie nafasi hii kueleza I will miss the old avatar... Naona it suits you better sababu it was unique as opposed to this one ambayo wanatumia wengi, Hata only83 ana the exact same image... Lol.

Enways I am glad you have acknowledged my acknowledgement of you... Pamoja saana, na regaards na happy holidays to your loved ones.
 
Back
Top Bottom