Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,771
nitakuwa hapa mjiniok dear sikukuu wapi sasa
nitakuwa hapa mjiniok dear sikukuu wapi sasa
Kyachakiche hongera sana mkuu.
Nashukuru mkuu, nipeni modul ya kuwasilisha pledge/mchango wangu!
Ha ha ha ha! Mkuu usipige IRANDA!!!Superman njoo pande hii kuna Kyachakiche anataka kubarikiwa zaidi kutokana na utoaji.
Hivi wewe ni "man" au "woman".
Kyachakiche si unajua tena jasiri lazima awe na asili.
ukifuatilia vizuri unaipata,mjadala ikinoga watu wakitoa povu hujisahau!!!fuatilia tu utawajua kwa jinsia zao!!Ngumu sana kupruvu, hapa tunaenda wa hisia zaidi
kwaasha mbeha ha ha ha! Mkuu usipige iranda!!!
wewe pendekeza tu mkuuwhat about jf useful thread of the year?
Mkuu; Mwenyekiti yuko tayari kukabidhi Mikoba mbadala wake akipatikana. tafadhali toa mapendekezo ya Wanatume na Mwenyekiti Mpya!
ukifuatilia vizuri unaipata,mjadala ikinoga watu wakitoa povu hujisahau!!!fuatilia tu utawajua kwa jinsia zao!!
Kimeo chako kitakuwa kimeo kweli, nipo Masanza KonaKongosho!!!!!!!!!!am tired kusubiri location yako inafanya loading kila siku au kimeo changu hakina nguvu ya mtandao!!!!