JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

Duuh hadi raha umeniacha hoi . . . . Ile Mutu ya MABEBZ WA UKWELIIII (Note CAPS).

Kama vipi tuone mapensekezo! Au vipi Bana!
sio Ukweliii, ni UKWEEEEEEEEEE(L unaimezea)
le mutuz hana category yake jamani? Naomba tuongeze category ya mateja wenye akili timamu (kuifagilia rehab na kuongeza changamoto ya kupambana na wauza mihadarati)
 
Wengi wanamkubali. Mwombe basi AshaDii this time awe kwenye tume ya uchaguzi.

hiyo ngumu sababu hakuna sehemu ya mashari na vigezo vinavyombana asigombanie hata miaka awe tu woman of the year kama hana mpinzani.
Napinga hilo na nitafungua thread kumthibitisha jina lake lipite.
Otherewise wekeni katiba labda mwisho kugombea miaka 5 mfululizo au 4.
AshaDii she iz the best wanaompendekeza wote like this comment.
 
Last edited by a moderator:
Mkiweka categories nitakuja kupendekeza majina mengine ila
kwenye malavdav(MMU) lara 1 hana mpinzani sijaona mpaka sasa
Mtambuzi na visa category siijui ila huyo lazima nimpendekeze
AshaDii mwanamke wa kipekee
 
Last edited by a moderator:
Categories za kushindaniwa na sababu za kuweka hizo categories

zile zilizotumika mwaka jana nadhani zinafaa sana tu kwa mwaka huu

Mchakato wa kupata washindi: Masharti na vigezo


Mimi nunga mkono hoja yako moja kwamba watu walioshiriki na kushinda kwa kipindi cha miaka kama mitano hivi wasishiriki tena...then siku moja tukiwa na washinndi wa miaka mitano au sita tunaweza kuwashindanisha wale washidi kwa shindano lenye jina mfano JF-ALL STAR COMPETITIONS...labda tunamtafuta jf-all star king of chit cheaters(ambayo no doubt xpin atashinda..)

Lakin pia kuwapata competitors nilikuwa nashauri kuwe na vigezo vya msingi ambavyo vingetumika ikiwa ni pamoja na a number of threads started...number of posts replied..responses za members kwenye hilo jukwaa kuhusu post zako...abuses reported na members...reputations received....yah!labda how often is a competitor on line...contributions zake katika kuitegemeza jf na mambo kama hayo...sasa hivi ni vigezo ambavyo viko documented kabisa..hao mods wangeweza kutusaidia kuvikusanya...baada ya hapo tunapata hata watu watatu kwenye kila foram itakayokuwa inatafuta mshindi

Mchakato wa upigaji wa kura

Mimi nafikiri tujaribu kuruhusu wadau wapige kura mara nyingi kadri inavyowezekana ili kuweka wigo mpana zaidi wa ushindani..i mean tufanye tu kama wanavyofanya wenzetu wengine huko BBA na anywhere

Mapendekezo ya Members watakaokuwa katika Tume ya Uchaguzi i.e. Judges

Hapa nadhan mods wa kila jukwaa litakalotoa crown ya kugombaniwa wahusike labda pamoja na members wakongwe na wazoefu zaidi kwenye majukwaa husika


Uboreshwaji wa zawadi
hapa nilidhani pangeboreshwa zaidi ....na management ya jf ni muhimu ikatusaidia hapa...ninachokiamini mimi hili la zawadi likiboreshwa litachangia sana kumotivate members wengi na automatically kuna vitu vingi zaidi vitakuwa automatically improved
Teamo; pamoja sana Mkuu wangu. Imetulia.

Ni nani ambao unapendekeza wawepo katika tume ya Uchaguzi? Nashauri ama tuwe 5 ama 7 ama 9. Kuna watu gani unaofikiria wanaweza kuwa majudges bila upendeleo?
 
Last edited by a moderator:
Asante Superman!!! Wale wenye majina ya madume ambao ni majike na ambao wanauwezo wa kubadilika post zao itakuwaje? Maana haki ya nani kuna mabingwa huwezi kumtambua kama ni she or he hapa!!! Dah kazi ipo!! Mimi sjiui ni she or he!!! Ngoja wapiga kura wafanye utabiri/kupiga ramli.

Mkuu Zogwale; hilo ni gumu wakati mwingi. lakini busara za Tume ya Uchaguzi na Judges itasaidia kwa kiasi fulani kupunguza kasoro kama hizo japo nakubali kuwa ni changamoto kubwa.

Je una maoni gani kama tuki-introduce na upigaji kura kwa njia ya simu ili kuongeza wigo?
 
Last edited by a moderator:
Superman nitatoa msimbazi mbili na ntatoa at the end of the coming january (usicheke), na bila shaka namba yangu ya simu ipo kwenu hivyo kama nitakuwa kwenye thikuku tafadhali sana usisite kunitumia sms.


Mkuu, tunashukuru sana sana. Elfu 20 ni pesa nyingi sana na bila shaka zinaleta impact na moyo mpya. napenda kwa niaba ya JEC kukutambua Mamndenyi kama moja wa wadhamini wetu.

Kuhusu mawasiliano, bila ya shaka tutamwomba Invisible afacilitate wakati mwafaka ukifika.

Ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
mimi napendekeza iwepo category ya mama walezi bora wa jf
na washindani ni Mamndenyi@Nyumba kubwa@Mamamdogo@Ashadii@Kaunga@Gfsonwin
hawa wamama nawakubali sana hapa jamvini kwa kweli

Ngoma inogile!

Una maana Walezi wa JF ni:

Mamndenyi; @Nyumba kubwa; Mama Mdogo; AshaDii; Kaunga; gfsonwin?

Maoni yako yamepokelewa ndani ya tume. Vipi kuhusu kuwaundia Jukwaa lao?
 
melo ameokoka, ni kondoo wangu hapa mlima wa mabadiliko. Hatumii biya! Afu na wewe hiyo hela unayonywelea biya ukiileta kama zaka utabarikiwaje?

Alishapewa Mkuu hiyo Elfu 50, na bado kapewa kalipiwa ziada apate status ya "Gold Member" kama unavyoona status yake sasa.

Natoa wito kwa wadau tuichangie JF maana changamoto ni nyingi. Kutoa ni moyo unajua.
 
Nani ameiteua tume? Naona kama sii huru

Mkuu, umeusoma Uzi Mkuu?

Ndo kwanza tunaanza mchakato. We toa maoni yako kuboresha. Kama kuna watu unawapendekeza wawepo katika tume, tupe majina yao na sababu.
 
sio Ukweliii, ni UKWEEEEEEEEEE(L unaimezea)
le mutuz hana category yake jamani? Naomba tuongeze category ya mateja wenye akili timamu (kuifagilia rehab na kuongeza changamoto ya kupambana na wauza mihadarati)


Haaaa haaaa hapo mi sipo! Nani watakuwa Contestants?
 
hiyo ngumu sababu hakuna sehemu ya mashari na vigezo vinavyombana asigombanie hata miaka awe tu woman of the year kama hana mpinzani.
Napinga hilo na nitafungua thread kumthibitisha jina lake lipite.
Otherewise wekeni katiba labda mwisho kugombea miaka 5 mfululizo au 4.
AshaDii she iz the best wanaompendekeza wote like this comment.

Inatia raha. Pitia threads za zamani uone hoja hizo zilijadiliwa vipi. Kama vipi Nyani Ngabu angekuwa King of all the time.

Ila si wazo baya wakati mwingine kuwashindanisha ALL STARS ambao watakuwa washindi wa zamani.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mwenyekiti bado hujastaafu?au uenyekiti wako ni miaka mingapi?katiba ya JF inakuruhusu
kuendelea kuwa mwenyekiti hata kama hatujakuchagua tena?
 
Mkuu, tunashukuru sana sana. Elfu 20 ni pesa nyingi sana na bila shaka zinaleta impact na moyo mpya. napenda kwa niaba ya JEC kukutambua Mamndenyi kama moja wa wadhamini wetu.

Kuhusu mawasiliano, bila ya shaka tutamwomba Invisible afacilitate wakati mwafaka ukifika.

Ubarikiwe sana.
Superman huchoki kukimbia?@AshaDii in kudos.
kama hamjajua kategori gani aiingie niambie nipendekeze :majani7::majani7::majani7:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom