JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

Aliyeingia mitini ni Jakaya Kikwete kumkimbia Dr Slaa kwenye Mdahalo, sikuona sababu ya kupoteza muda wangu kufanya Debate between truth and Propaganda.

Hakuna MwanaCCM yeyote humu JF mwenye uwezo wa kufanya Mdahalo zaidi ya Mchambuzi. namuheshimu sana MwanaCCM huyu na siyo nyinyi vibaraka empty stomach.

Mkuu Matola
Mdahalo unaoungelea wewe ni wa matusi au wa hoja? Mimi nakupa kura kwa uhodari wa matusi ila wa hoja huna hata mmoja!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Personally na nominate the following;

Jukwaa letu pendwa la MMU

Wanaume
Mtambuzi
SnowBall Eiyer

Wanawake
gfsonwin
lara 1
Smile
Natalia

Jukwaa la Siasa

Wanaume
Mkandara
Yericko Nyerere
n00b
Nicholas
Nguruvi3
JokaKuu

Wanawake
Ciello
gfsonwin
Esther Wasira

Man of the year
Father of All
Kiranga
jmushi1
Rutashubanyuma
EMT

Woman of the year
gfsonwin
Mwali
King'asti
Mwa J
AshaDii, Ahsante. Kama ni kombe la dunia basi umenipanga ''kundi la kifo'' kule kwa Brazil, Argentina, Spain n.k. Kilichonifariji ni uwepo wangu ili kukamilisha timu katika kundi.
 
Mkuu Nguruvi3, kwako hilo si kundi la kifo hahahaah!
 
Last edited by a moderator:
Personally na nominate the following;

Jukwaa letu pendwa la MMU

Wanaume
Mtambuzi
SnowBall Eiyer

Wanawake
gfsonwin
lara 1
Smile
Natalia

Jukwaa la Siasa

Wanaume
Mkandara
Yericko Nyerere
n00b
Nicholas
Nguruvi3
JokaKuu

Wanawake
Ciello
gfsonwin
Esther Wasira

Man of the year
Father of All
Kiranga
jmushi1
Rutashubanyuma
EMT

Woman of the year
gfsonwin
Mwali
King'asti
Mwa J
Huyu hana sifa za kuwa Nominated.

[h=1]Esther Wasira
user-offline.png

Senior Member
verified.png

reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]

Join Date 15th October 2012
Last Activity Yesterday 04:39
 
Bro Superman naomba nikushukuru kwa kusimamia hili shindano..i also have some ideas about this..conglats!

Back to the topic naomba nitoe mapendekezo yangu.................

KING of MMU..... Mtambuzi , HorsePower and Eiyer

QUEEN of MMU... lara 1 gfsonwin , snowhite

MALE POLITICIAN... Mchambuzi , Yericko Nyerere , chama

FEMALE POLITICIAN... Ciello , AshaDii

Overall woman of the year ... AshaDii , gfsonwin

Overall Man of the year ... Mtambuzi . Yericko Nyerere, Kiranga and Erickb52

Ahsanteni!..nimemaliza!!!

am humbled pacha!ila sina muda mrefu humu,huniachi nikakua kidogo?
 
Hivi ikitokea mshindi akawa madame X, kutakuwa kuna haki hapo?
 
Last edited by a moderator:
nyabhingi hebu acha ukorofi... Hivi kuhusudiwa unakuwa ni mchawi?! Lol...

Alafu nakudai. You never did tell me kama you went (and how it worked out) with your #1 woman you treasure (as per your say) to the movies for the sake of old times sake as promised by you to me...

On a serious note; I am as surprised as you... Nawashukuru watu wa Mungu kwa upendo na support yao kwangu. It means loads to me, na ndio maana I feel like I have two lives - the one at Jf na the one ya Uraiani. Life is good so far, tumuombe Mungu aendelee kuwa mwema kwetu huu mwaka mpya.

Happy holidays Nyabhingi... Pamoja Saana.

dah..nilikuwa nje ya gridi ya taifa(jf) for a while..una kumbukumbu asha si mchezo!!speakini of movies..when i talk about my childhood,movies ndio memory ambayo inakuja fasta..my girl is a witness,mlimani city pale mahudhurio yetu yapo juu..i got a surprise for ya,..i have a nine month daughter...i luv her so much,..i will meet death before i let her meet harm..
 
Wooow! A daughter eeeh? Sasa utajua ni kwanini babake mama mtoto alikuwa anakuangalia kwa jina la walakini hata ulipokuwa unaonesha niya ya kuoa bintiye! Lol

I am so proud of you... Itabidi nyie wanaume wa Jf mfungue Jf daddy club muwe mnajadiliana namna ya malezi bora... Hapa karibuni Mungi, Mtambuzi, Mr Rocky, Maxence Melo, wamenufaika kwa kujaaliwa kuwa na new member katika familia zao (among wengi ambao hatujui).

I am glad you are keeping up the tradition... Nikija Dar utanitoa movies... Lol. Do take care na kisses to the angel.
 
asha this dad feeling overwhelms me!!at first i was nervous but now i think i will make a great daddy...honestly speaking,..wifey amekuwa akinitoa woga mpaka nimezoea,you ladies are so storng..movies?ukija daslam be my guest,..movies utazikimbia,movies ni trademark yangu..andhaa kanoon ya amitha batchan takes me back to those good old childhood days
 
Nimependa saana that part of this post... Na napenda the fact it seems your wife is good for you. Wachache wanabahatika hilo... Hongera saana.

In this sense unaniambia umesha angalia Skyfall, Bourne Legacy, Safe, The Expendables, Abraham Lincoln, Alex Cross, Thats my kid... or nyingi nying ambazo zilitoka 2012. Will have to open up a thread tu discuss movies... Lol.

Mie ni movieholic among my other vilevi... Siwezi run away from a movie... hata kama ni Bollywood origin.
 
blue;nimezicheck,abraham lincoln is on my watch list cuz nimeona trailer lake nimeipenda sababu it's kinda funny!!!!yes inabidi tufungue thread for that..lol
ps:gotta watch those movies in theatre or home theatre
 
AshaDii Shukurani kwa kunifikiria kwa taadhima kubwa.

Mie naomba nijitoe kwani sijaona mchango mkubwa nilioutoa kupewa heshima hii.

Pope Kiranga ChaNgeda Sangala Kandumbwa wa Pazi.
AshaDii, hata mimi naomba kujitoa. Mwaka huu hata thread nadhani sijaanzisha, nimekaa kugonga likes tuu, na sometimes kuaponda wapendwa wa JF kwa points walizo toa. Kura yangu nampa gfsonwin who impressed me, hasa katika kutoa mtazamo wake kwenye mijadala mbali mbali zilizoandaliwa JLS.
 
Mwali thanks that amone of the people who impressed you. sina la kusema kiukweli manake sijui kama huwa niko kama unavyonichukulia.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii nimekumiss sana aise. Naamini uko salama na hii season kwako imeenda salama kabisa. Naamini tutakumbukana katika kipindi hiki cha kumaliza mwaka
Bado tunaendelea na malezi na bado tuna safari ndefu sana ila naamini tutafika.
Nimeyapenda mapendekezo yako aise
 
Last edited by a moderator:
AshaDii, hata mimi naomba kujitoa. Mwaka huu hata thread nadhani sijaanzisha, nimekaa kugonga likes tuu, na sometimes kuaponda wapendwa wa JF kwa points walizo toa. Kura yangu nampa gfsonwin who impressed me, hasa katika kutoa mtazamo wake kwenye mijadala mbali mbali zilizoandaliwa JLS.

Natafakari kwanza hii post.... :confused2:

AshaDii nimekumiss sana aise. Naamini uko salama na hii season kwako imeenda salama kabisa. Naamini tutakumbukana katika kipindi hiki cha kumaliza mwaka
Bado tunaendelea na malezi na bado tuna safari ndefu sana ila naamini tutafika.
Nimeyapenda mapendekezo yako aise

R' mzima wewe?! Mie am good na wa afya namshukuru Mungu. Hongera saana kwa kufurahia wajibu wako.. Lol.

Happy holidays R'.. You have been missed too.
 
Back
Top Bottom