Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
ahaaaaa nyumba kubwa??????????Smile sina hata ubavu wa kusimama na hao uliowataja.
Last edited by a moderator:
ahaaaaa nyumba kubwa??????????Smile sina hata ubavu wa kusimama na hao uliowataja.
nimekumiss best wangu wewe welcome backtutachakachua kura mom! Usijali.
mmmh mimi nitakuwa 40 ya mama kwa mwaka huu sina celebration yoyote bwanaNajipanga nienda nikapumzike Seychelles, vipi tujumuike wote tukaote jua huku tunakunywa madafu.
AshaDii ni Jembe la JF. Mimi namhusudu sana (I mean kwa namna nzuri). Leo naonana naye Rouge The Kilimanjaro kwa mashauriano! Hila hajathibitisha muda!hivi huyu ashadii kawaroga humu?kila mtu anamhusudu!
angalizo:kwenye kuhesabu kura hawa wasishiriki kutokana na historia yao kwenye chaguzi...ritz,zomba(sijui kafia wapi siku hizi)tume ya katiba,chama..tafadhali superman zingatia hili
sio Ukweliii, ni UKWEEEEEEEEEE(L unaimezea)
le mutuz hana category yake jamani? Naomba tuongeze category ya mateja wenye akili timamu (kuifagilia rehab na kuongeza changamoto ya kupambana na wauza mihadarati)
nimekumiss best wangu wewe welcome back
mshiko wa Nyani Ngabu umefykwa..haha chekeze wabongo nini.(joking)
zomba; Competition ipo toka 2009 na leo ndo naona comment zako. Je threads zote za JF zina faida kwako. We can be partians and give respect to others what they want to do.
Kama umeipitia post kuu na ukaona haina faida, basi ni busara pia tuheshimu mtazamo wako.
Kama ilivyo katika threads zako ulizoanzisha za:https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=13016991
Sidhani kama kila mtu anaona ni za maana.
Badala yake unaweza ukatoa maoni tofauti kama yapo. Kama hakuna its Ok!
Acha unoko we mrembo....kha unamjua vizuri Maxence Melo wewe nimemwita sasa utaamba permanent ban
hivi maziwa ya mgando aliishia wapi yule jamaa?Sasa sie wenye matipo ID's?
Unaweza kuta kategori zoote kashinda mtu mmoja
Watu tuna ID nyingi hadi tunajichekesha wenyewe, chezeiya matipo kwesheni nyie.
Acha unoko we mrembo....
Mzima lakini?