Jf members wanao penda ku-flirt PM

Kwakweli hapo mie sina cha kukujibu,
Coz hata mie mwanzon sikuelewa lkn nikawa navutiwa naujumbe ninaoupata,
Na kwa kweli nafarijika kwani huwa na copy na kupest kwa pc yangu na kufuta hizo pm,
Kiasi kwamba mpaka sasa nina inbox tano za mistari ya biblia za leo,
Namshukuru mungu kwa neema hii.
 
Basi wewe una bahati sana, hakuna members wanakutafuta kwa ku-flirt... ila naskia wapo humu JF...

Hivi tunaweza kuelimishana kwa kuwataja mabingwa wa kuflirt???


Mie nilikuwa na nafanya hiyo kitu miaka ya 1957.......Kwa hiyo wanaofanya sasa nao wajipime wenyewe ama waamue kujitaja au tuwataje!!
 
Napata lakini lazima ukini-PM inbox yangu ifanye recognition of gender ili nijue how to deal with you.....
Haya bwana! kheri yako wewe hauto tapeliwa kama yule jamaa alikopa za kumlipia pen pal nauli kumbe ni male mwenzie.
 
Mara nyingi tunakutana na watu humu JF ambao tunapishana kwenye mada jamvini ghafla unaona wanaamua kukutumia PM, vile vile mtu (nje ya JF) mmebadilisha contacts kwa sababu moja au nyingine, alafu anakuanzia SMS/BBM/Skype, au njia zingine za kutuma ujumbe. Hakuna ubaya ila nivizuri kujua kua sometimes kuna dalili katika ujumbe zinaonesha kua mahusiano yanaweza kugeuka very flirty.

Moangezi ya ku-flirt PM/SMS ni mengi, depending on who is sending them. Nawaanzishia tu kumi ambazo naskia zinatumika sana humu JF

1.The Shy one : Nimependa ulivo jibu… Atafatisha kwa kusema kua anapenda members ambao wanafikiri tofauti na wengine, anakupa sifa alafu anaanza kukuuliza maswali ambayo hayana uhusiano na topic ulio jibu.

2. The Classic one : Nimeipenda avatar yako… Ataanza kujiulizisha maswali ya uhusiano kati ya avatar yako na wewe mwenyewe na angependa ajue zaidi kukuhusu.

3.The Childish… Unapenda chakula gani? na yeye atataka akwambie cha kwake, alafu aanze kukutafsiria maana ya kupenda chakula hichi au kile, na hatimae aanze kukwambia kua chakula Fulani kinaongeza nguvu za kiume na Fulani kinanyegesha …(also works with song, star, movie, drink BUT NOT books)

4.JF by night : Uko wapi sasa hivi ... Alternative ni unafanya nini sasa hivi, uko peke yako, umekaa pozi gani etc.

5.Fundi chereani : Umevaa nguo gani? Atataka ajue nguo za nje, ni ndefu au fupi, zimebana au zimepwaya, hazikupi joto? na ukimchekea atauliza hadi za ndani.

6. The executive: anakufanya secretary, (hasa kwa members wanao penda kuchangia kwa kizungu..). Nisaidie kutafsiri… Atakuanzia na maneno ya kawaida kama ‘kula na kunywa’, alafu aanze maneno kama ‘kutamani, malavidavi,kilele’ na kadhalika.

7. The naughty one: anapenda kuchanganya maana ya vitu ..(ex: wewe umesema jicho, yeye anajifanya kaelewa “jicho”). Unaongea utamaduni kasha rukia shanga…

8.The fake gentleman/Lady: anamaliza kwa kuandika “kiss” alafu anajifanya kuongeza (I hope you don’t mind). Hii ni kwa wale ambao mmesha tumiana PM zingine muhimu alafu anataka akubadilishie gear.

9.The inquisitor : Una mpenzi? Hata kama unae atakuconvice kua huna sababu hayupo hapo next to you dakika hii, baada ya hapo atakuuliza unafanyaje kuvumilia? Mara atakuuliza kama matamanio ya mwili hayakusumbui na anaanza kukuuliza unadeal vipi...

10. Action man/woman : Ningekua hapo tungefanya nini? Hii kiboko! Nimehadithiwa asubuhi hii, na ndio imenifanya kuanzisha thread!

11. … we umekutana na yupi hapo juu? kama hayupo, endelea...

mi naendelea kwa sababu sijawahi pata PM yoyote ile..
 
Kwa kweli mie hata moja ya hivi sijapata watu wanaupendeleo sana aisee

Lakini afadhali sijapata maana ningeshawarusha hewani siku nyingi sina dogo mie
As you say ni kheri sisi tusio pata. Nakumbuka kuna thread Lizzy alianza, ya kuuliza utaratibu wa ku-ignore maana kuna mtu alimweka kwenye ignore list ila jamaa akawa anaendelea ku-PM
 
Kwakweli hapo mie sina cha kukujibu,
Coz hata mie mwanzon sikuelewa lkn nikawa navutiwa naujumbe ninaoupata,
Na kwa kweli nafarijika kwani huwa na copy na kupest kwa pc yangu na kufuta hizo pm,
Kiasi kwamba mpaka sasa nina inbox tano za mistari ya biblia za leo,
Namshukuru mungu kwa neema hii.

hongera zako bibie kwa kuwa na ujumbe wa mungu..
 
Basi wewe una bahati sana, hakuna members wanakutafuta kwa ku-flirt... ila naskia wapo humu JF...
Kwakweli mie haijanitokea kbs,
Nahisi labda nikutokana na upako uliojaa kwenye profile yangu,
Unaweza ukawa hauruhusu msg za ivo kuingia isipokuwa zenye ujumbe wa neno la mungu!
 
Binafsi situmiwi PM... Nimefanya uchunguzi kwa members fulani fulani ndio nikaambiwa kuna hizo category hapo...

Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!

ni vigumu kwangu kuprove kuwa ni kweli coz i dont do pm

Kwa kweli mie hata moja ya hivi sijapata watu wanaupendeleo sana aisee

Lakini afadhali sijapata maana ningeshawarusha hewani siku nyingi sina dogo mie

mi naendelea kwa sababu sijawahi pata PM yoyote ile..
:lol::lol::lol:
 
mwingine hujawahi kumwona kwenye thread au jukwaa lolote wala hujui kama yupo JF but mara unakuta PM,heri hata wale wanaokutana jamvini unakuwa umeshamzoea kiasi
 
Back
Top Bottom