JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

mmh mkuu wewe ni noma,profile lako linauza,,naomba namba ya mandela basi,niPM

Mkuu kamata hii, PM itachelewesha: Ukimpa msalimie. Mwambie jamaa yako aliyekutorosha 1964 . . .

Amandla!

Contacts:

Telephone: +27 11 547 5600; Facsimile: +27 11 728 1111
Email: nmf@nelsonmandela.org; Web: www.nelsonmandela.org

Physical Address

107 Central Street; Houghton; 2198; South Africa

GPS co-ordinates

S 26° 08'55.6"
EO 28° 03'30.6"

Mailing Address

Private Bag X70000; Houghton; 2041; South Africa
 
Mkuu,
Sina wazo la kubadilisha hii avatar katika siku za karibuni...Naamini kuna siku ambapo utaanzisha shindano la kuchagua avatar ambayo imeweza kuwepo majamvini kwa siku nyingi zaidi bila kubadilishwa badilishwa, na huenda nikaibuka mshindi...lol!
Niko kwenye hatua za mwisho za mchakato binafsi wa kuwasilisha mshindani wangu.
Kawaida watu hawawezi kuanza ghafla kutaja majina, lazima kwanza waanze na jokes, lakini naamini hatimaye watapatikana washindani wetu.

Mkuu, umenikumbusha mbali saaana. Zile enzi MWKJJ alitaka kubali Avatar kukawa na mjadala mrefu kuwa ile ya Jembe begani imepitwa na wakati aweke ya huyu babu iliyoenda shule na kuvaa kipini cha kisasa? unakumbuka?

attachment.php

​

Tumetoka Mbaaali sana. Nyani Ngabu wakati huo hatumii hii Avatari ya kitoto hiki alikua anatumia ya yule Nyani mwenye "balls" kavaa headphones za kuondoa noise anapiga risasi. Halafu hiyo Avatar ilikuwa gif kama ya Superman.

Duh, ilikuwa noma wakati ule. Huku kuna Kuhani, huku Putin, huku WoS, huku Mwafrika Wa Kike nk. Wako wapi watu hawa? NN rudisha ile Avatar.

Of course Mkuu, majina yataanza kupendekezwa sasa hivi.​
 
Attachments

  • Mkongwe.jpg
    Mkongwe.jpg
    23.2 KB · Views: 192
Aisee Mubyazi hebu njoo ukate mzizi wa fitna! Alikupa hela zangu kama anavyodai hapa?

Mimi huyu Superman simwamini. Amekaa kitapeli tapeli.

Wewe umeona JF Man and Woman of the Year 2011 wanatafutwa tarehe 1 March 2012?

Hii kitu haijakaa sawa hii.

Nadhani yuko sahihi, anafuata mfumo kili music Awards, tuzo nyingi mara nyingi hazitolewi katika mwaka usika, au hata kwa Obama huonagi Tuzo za Oscar na Grammy!!?? au ndio unabeba mabox mpaka unasahau kufuatilia some events.
 
Mkuu; Mbona hili nimelielezea kwenye Uzi Mkuu: Review hii kitu:

Mwaka huu 2012 tunafanya mchakato wa kuwapata Washindi wa 2011 (lakini michango yao ya sasa inakubalika iingizwe 2011).Tulichelewa kufanya kwa sababu zilizo nje ya uwezo. Categories za Mwaka huu ni:
 
Mkuu,
Sina wazo la kubadilisha hii avatar katika siku za karibuni...Naamini kuna siku ambapo utaanzisha shindano la kuchagua avatar ambayo imeweza kuwepo majamvini kwa siku nyingi zaidi bila kubadilishwa badilishwa, na huenda nikaibuka mshindi...lol!
Niko kwenye hatua za mwisho za mchakato binafsi wa kuwasilisha mshindani wangu.
Kawaida watu hawawezi kuanza ghafla kutaja majina, lazima kwanza waanze na jokes, lakini naamini hatimaye watapatikana washindani wetu.

Hapo penye nyekundu hapo....Naamini nitakushinda mkuu maana Avatar yangu tangu imewekwa mwaka 2008 haijabadilishwa kiasi kwamba kuna wadau huwa wananiuliza kama ndio sura yangu halisi...
 
Wewe Superman, kwanza bado nakudai hela zangu wewe. Na usilete uswahili wako hapa.

Pili, mimi nilikuwa mshindi pekee. Sikufungana na mtu. Nilikuwa Man of the Year mwenyewe. Kwanza Aspirin hakuwepo hata kwenye wale finalists wengine.

Wachuchu ndo walifungana. Alikuwa marehemu Regia na Gaijin.

Sasa vipi hela zangu?
Natangaza kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa JEC Superman, hadi atakapojibu tuhuma za NN.
 
Mkuu, umenikumbusha mbali saaana. Zile enzi MWKJJ alitaka kubali Avatar kukawa na mjadala mrefu kuwa ile ya Jembe begani imepitwa na wakati aweke ya huyu babu iliyoenda shule na kuvaa kipini cha kisasa? unakumbuka?

attachment.php

​

Tumetoka Mbaaali sana. Nyani Ngabu wakati huo hatumii hii Avatari ya kitoto hiki alikua anatumia ya yule Nyani mwenye "balls" kavaa headphones za kuondoa noise anapiga risasi. Halafu hiyo Avatar ilikuwa gif kama ya Superman.

Duh, ilikuwa noma wakati ule. Huku kuna Kuhani, huku Putin, huku WoS, huku Mwafrika Wa Kike nk. Wako wapi watu hawa? NN rudisha ile Avatar.

Of course Mkuu, majina yataanza kupendekezwa sasa hivi.​

Kuna Avatar moja ya NN nilikuwa naikubali sana.....Ilikuwa ni jamaa ana midevu mingii.......Ilikuwa imetulia sana
 
Mimi ningeanza na wadada wa tatu walionikuna 2011

(1) kongosho
(2) smile
(3) lizzy

Pamoja Mkuu. Unawanominate katika Category gani?

Should we say one person one nomination au mtu anweza kuchagua zaidi ya moja ili mradi harudii?

Halafu Kongosho si inadaiwa ni Shemale?
 
Nadhani yuko sahihi, anafuata mfumo kili music Awards, tuzo nyingi mara nyingi hazitolewi katika mwaka usika, au hata kwa Obama huonagi Tuzo za Oscar na Grammy!!?? au ndio unabeba mabox mpaka unasahau kufuatilia some events.

Mkuu, it is more than clear. Thanks.
 
Hapo penye nyekundu hapo....Naamini nitakushinda mkuu maana Avatar yangu tangu imewekwa mwaka 2008 haijabadilishwa kiasi kwamba kuna wadau huwa wananiuliza kama ndio sura yangu halisi...

Duh! Mkuu, ni kweli, Avatar yako ni ya kale pia kwa umri wa JF.
 
Natangaza kutokuwa na imani na Mwenyekiti wa JEC Superman, hadi atakapojibu tuhuma za NN.

Mkuu, NN analeta mambo ya siasa hapa. Nilishazijibu tuhuma zote. Pesa si amtafute Maxence mimi nilimpa. Tena mbel ya Mashahidi. bahati Maxence ni mtu wa Mungu sana sidhani kama amekula ile pesa.
 
Kuna Avatar moja ya NN nilikuwa naikubali sana.....Ilikuwa ni jamaa ana midevu mingii.......Ilikuwa imetulia sana

Umeona eeh, si kama hii ya hiki Kitoto anayoitumia sasa hivi. Bora airudishe hata kwa wiki moja tu, tukumbuke historia.
 
Nitamshawishi Nkwingwa aiweke ile Avatar yaa enzi zile.....Pia alikuwa na Avatar moja ya Nyani anashoot(kashika bunduki anaishoot)....

Dah........Tumetoka mbali sana...
 
Back
Top Bottom