JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Is that the way you perceive it? Mbona mnakubali viti maalum? Besides how come there are more men in jails (and on the hanging rope) than women? Is it not that we are naturally inclined to play different roles in society and hence a need to be judged by different yardstick?

Msimamo wangu kwenye viti maalum upo wazi, sijawahi kukubali na sitakaa nikubali kamwe, so don't include me in that group

And what are the different roles for male and female in JF, pray tell
 
heheeh bado nalifanyia reserch gunia la mkaa, documentari kwa sasa imejikita zaidi kwenye wajawazito wanaotumia mkaa kama snacks. Ikimaliza kopi ya dokumentari moja nitaitoa bure kwa memba wa JF hasa jinsia ya upinzani

lahaullah klorokwini :lol:
weye sijui hata utaangukia kategori gana wallah, kwa sasa endelea tu ku hang
 
hahahaa mie bado kukoroka aerial wala omo bana MTM
just chilling...it Friday (hujafunga weye? nimekumbuka kitambo ulikuwa muhamasishaji)

mwaka huu nimefeli.... hapa niko timor mashariki ni jioni nishagida kachwiiiiiiiiiiiiiiiii, nasubiri ndoto za kuokota pesa na kufukuzwa na ng'ombe tu
 
  • Thanks
Reactions: bht
sina imani na kijana TANMO. Tunaomba kura zetu zilindwe

Hisoria ya Kijana TANMO kuingia katika Tume ni kwa kuwa naye kama wewe hakuwa na Imani nayo Mwaka 2010. Na alipiga kelele sana. Hata hivyo baada ya kuingia ndani aliona jinsi uadilifu ulivyo na tukampa ujumbe.

Ni kwamba kisaikolojia tunaangalia mtima wa moyo wake kama una uchakachuaji.
 
heheeh bado nalifanyia reserch gunia la mkaa, documentari kwa sasa imejikita zaidi kwenye wajawazito wanaotumia mkaa kama snacks. Ikimaliza kopi ya dokumentari moja nitaitoa bure kwa memba wa JF hasa jinsia ya upinzani

Ndio maana Mkuu mmoja akataka kutoa zawadi ya gunia la mkaa na live chicken, kumbe ni nzuri kwa afya ya mama na mtoto :lol:
 
.....sentensi nimekuwa naisikia sana kutoka kwa kina dada walio single. Funny enough, kuna kina dada wapatao watatu niliowahi kuwasikia kwa masikio yangu (nafanya nao kazi) wakitoa kauli kama hii lakini eventually wamezaa na waume wa watu (of course sio kwa wakati mmoja na si na mume mmoja but over a period of four years).

Kuanzia jumatatu ya wiki hii nimekuwa nafukuzia kupewa assignment fulani na taasisi fulani. My contact kwenye hiyo taasisi ni mdada mmoja mrembo kweli ila hajaolewa. Nilimualika kula pizza pale Piccasso - wanaoifahamu Arusha wanaifahamu ilipo - jana jioni ili kujenga mazingira ya mimi kupata hicho ninachokitafuta (mwenye influence na maamuzi ni immediate boss wa huyo dada). Tulikula pizza na kuongea vitu viwili vitatu - social na professional - na kauli ya "kuogopa sana mume wa mtu" ika-crop up. Baada ya mlo kila mtu akachukua time. Mchana huu nikapata sms kutoka kwake akiniuliza: "Umeoa? Mimi naogopa sana mume wa mtu and I want us to be careful if you are married".


Nadhani hii kitu itanifanya nichaguliwe JF babu ofu ze yia.

Gudimong zenu this aftanuun
Karibuni Taska malti baridi....
Nimelikumbuka sana somo la Sayansi Kimu.
hehehehe fellow tablet bana, sasa unakopi na kupaste masredi mbele ya tume ya uchaguzi? Hebu weka na utabiri spurs na manu wa jumapili?
 
Aisee we mwalimu..:focus:

Pigia ODM kura. Nikishinda labda naweza kuongeza idadi ya wajukuu wa kukagua.
halafu mate naona superman kahamisha ushindi wangu wa 2010 kukupa wewe, yani hata buko 50 unapiga roba ya mbao??? tutafika mengwe kweli??
 
Ndio maana Mkuu mmoja akataka kutoa zawadi ya gunia la mkaa na live chicken, kumbe ni nzuri kwa afya ya mama na mtoto :lol:
Scientifically proved.
Source: Jirani yangu alokuwa anafanya kazi ya kufagia chumba cha maiti muhimbili.
 
na buddy unavyopenda hizo kama nakuona aisee.... hebu pata glasi ya maji uangalie ben ten

Hahaha sasa kuna Powerpuff Girls tu :]

Hatutaki shutuma bila ya ushahidi, aje na maelezo yaliyoshiba, sio kuyaacha yana elea elea
 
wa maadili yaliyonyooka kwa mujibu wa nani?
mie sijawahi kukuamini kwenye huu mchakato
Kwanza hebu ona kila saa unakuja na vi amendment vinavyo'suit' matakwa yako tu...(naona ushaamend ili umtoe NN tayari) lol

Maadili yangu ni kwa mujibu wa Wana JF na wana jamii. Mfano ninao rafiki zangu wa karibu ambao kupitia wao unaweza kufahami mimi ni mtu wa nani, list yao ni kubwa, lakini marafiki zangu wa karibu na wachache ni kama:

1. Kofi Anani
2. Bill Gates wa USA
3. Invisible wa JF
4. Mandela Madiba wa SA
5. Dr. Slaa wa Chadema
6. Jussa wa CUF
7. Mama Salma Kikwete
8. Queen Elizabeth wa England
9. Mustafa Sabodo wa Tanzania
10. Mwanakijiji wa JF

Na wengine wengi.

Si hivyo tu ni jana nilikuwa na rafiki yangu Shiekh Mkuu Simba na Muhadhama Pengo baada ya kikao changu na Mengi wa IPP.

Pili nilamua kujiuzulu Mwaka jana, lakini niliona team ya JF ikiongozwa na wakongwe kama JP, Malaria Sugu; AshaDii, FL1, AD, Bishanga; The Finest; Maxence na wengine wengi walinifuata na kunuiomba kwa unyenyekevu ikabidi nikubali. Sina haja ya kuchakachua kwa kuwa mimi ni Mwana Demokrasia wa kweli.

Kuhusu NN: Macelebrity wote wa Nyuma kama NN, WoS hawashiriki kisheria na kiutamaduni.
 
Hisoria ya Kijana TANMO kuingia katika Tume ni kwa kuwa naye kama wewe hakuwa na Imani nayo Mwaka 2010. Na alipiga kelele sana. Hata hivyo baada ya kuingia ndani aliona jinsi uadilifu ulivyo na tukampa ujumbe.

Ni kwamba kisaikolojia tunaangalia mtima wa moyo wake kama una uchakachuaji.
hebu niweke na mimi maana najua zoezi la kuhesabu kura invisible atakuwepo kwaiyo itakuwa ni golden chance yangu hata kumhug tu mkuu pls superman
uadililifu wangu nadhani unaujua hauna kipingamizi hata tammo anajua
 
Back
Top Bottom