JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Asante sana. Hivi kitufe cha senks kilienda wapi. Ungenigongea tena.

Nashukuru sana hata hivyo mimi sijapata kuwa Mheshimiwa na Mwanajamii wa Kawaida tu.

Halafu wewe kunisadia mambo ya benk stetimenti na viza ndo imekuwa nongwa eeh?

Unaooona raaaha mwenyewe kuwasimulia watu....hufai kabisa wewe.
 
Hebu chunguza vizuri hao nlowapigia
Wote wananihusu na kunigusa

Weee, shria zinaruhusu sana
Kama ni hivyo, mie sipigi kura
Nawataka hao hao
Hehehe! Sheria haziruhusu kupigia kura waume zetu! Asprin mtoe! Kuna mahali umeona nimempigia kura nitty?
 
Mkwe weka evidence bana... naona unanipaka mafuta kwa mgongo wa sime.

Nikishinda nakuahidi busu la moto.
Mkwe kwani hujaona kura yangu? nilipiga kabla hujaomba............... tafuta
 
usilete undava hapa PJ
tukubaliane, ukitaka nisilete ushahidi mgombea wangu apite...lol

nimefunga pole wewe na supamani wako
na leo sitoki humu hadi kieleweke, ebo!!!
 
Hahaha! Ukisikiwa na Rejao mie simo, hebu nisaidie kuhesabu kura zangu!..

daah hazijatosha ila ngoja ntafanya fitna ikibidi tukimbie na sanduku la kura :lol::lol:
 
Nimepata taarifa za kiiteligensia kuwa tume yako itakuwa na upendeleo...

Kama Babu, ulitegemea niseme nini kama siyo kuonya?

Ndo maana hata thread imehamishiwa Chit chat,

Hivi kura zinaendelea au zoezi limesitishwa kwa muda??

Babu DC!!

Babu mimi nafunga shindano na naomba uwe msimamizi wa kuhesabu kura. Uchaguzi wa safari hii una vurugu sana ingawa bado ni huru na wa haki. Shida kuna vijana wengi 2010 walikuwa 17 sasa 2012 wako 18 ndo shida iko hapo.
 
Siwezi kumsamehe huyo.

Kanizika hela zangu...atanibeba leo!
Hehehee halafu wewe ujue utamfanya Supamani aahirishe uchaguzi

Mwenyewe nadhani ulimpa afueni ulipo comment post ya Belinda, akajua yameisha...lol
 
Dah, leo ndo nimeamini ni rahisi sana kutabiri mechi ambayo imeshachezwa, na ni ngumu sana kutabiri mechi ambayo haijachezwa.
Ligi ni ligi tu, iwe ya kulipwa, kombe la mbuzi au maneno.

Superman 😛oa😛oa

Kongosho!


Siri kubwa ni kuwa Mwadilifu tu. Kuna watu wamesha ni-PM sana niwape ushindi wengine wameiahidi pesa wengine eti penzi (can u imagine) lakini mimi sikubali nalinda heshima yangu na JEC. Wakibisha naswalipua.
 
Back
Top Bottom