Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,220
- Thread starter
- #21
Mkuu mungu anakuona😁😁😁😁Kaa hapo karibu na counter kuna barmaid ana bonge la tako zikikolea unaweza ukapita nae na chui atakua ameona swala amenona
Mkuu mungu anakuona😁😁😁😁Kaa hapo karibu na counter kuna barmaid ana bonge la tako zikikolea unaweza ukapita nae na chui atakua ameona swala amenona
Madokta kila kila siku wanakuja na taharuki mwingine chupa moja kwa saa mwingine chupa nne hazina mazara.
mimi naona moody yangu ndo itaamua leo ndio leo😄😄😄
haueshimu faragha na pia jezi za watu!?
Kula mmaaa🥃🍻 mzee hawa madokta wanatuonea wivu,Madoctor wenyewe wanavuta fegi na wanaingia kufanya opalation kwa mgonjwa wamebusti
Mmi ni nani 🍺🍺
we mzee kilingeni unarudi lini nataka tumloge muhindi kila siku anabahati yeye tu haiwezekani😎
Wengine weekdays kuingia jf ni anasa.Leo weekend ....
ni ulemavu in dizasta vina voice
Shabiki wa chelsea npo hapa nakula burudan baada yakuwakandaaa manyiuuuuuMan U kapigwa, City anapigwa
we mzee kilingeni unarudi lini nataka tumloge muhindi kila siku anabahati yeye tu haiwezekani😎
Mtaalam hii ndo ndagu yenyewe???
Hapo ni full package😂Mtaalam hii ndo ndagu yenyewe???