Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,810
J'MOSI 23 Feb Kutakuwa na kikao cha dharura pale 'LEO TUPO HAPA PUB' Kwa Mjeda kuanzia saa 12 jioni..Nadhani tutakuwa na muda mzuri wa kujadili yatarajiwayo.... Wadau wa White Party na wale watakaopenda kuhudhuria wanakaribishwa.... Kwa watakaoaka kuhudhuria PM zielekezwe kwa Madame B, Paloma na amu
Copy: cacico, gfsonwin, amu, kipaji halisi, Jiwe Linaloishi,
Kaizer, Jeska, Asprin, Madame B, watu8, Mulama, Bujibuji, Zion Daughter, Remmy, snowhite, Paloma ...............
This time nitajitahidi nifike.
Last edited by a moderator: