Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
..inabidi tuonane tukiwa na ajenda mkononi...yale ya kukutana huku dompoo na contesa ziko mezani...tupunguze japo kwa masaa watu waongee..kisha ndio dompoo zianze. Madame BUmeona eee!!!
Ila ukweli kipaji halisi inatakiwa Dar Wing People tukae tujadiliane kuhusu kuiboresha Wing yetu.
Last edited by a moderator: