JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

Nipo single ndiyo nataka kurithi.....Ila hao watoto 3....

Haaaaaaa..........!!!!!!!!Yaani upende Boga ila Maua usiyapende Ben Saanane?
Namna hii, Bhana
628x471.jpg
 
Last edited by a moderator:
Jaman muwe mnanitag kwenye thread zenu na mie nami napenda kujumuika huko
 
Jaman muwe mnanitag kwenye thread zenu na mie nami napenda kujumuika huko

Karibu sana Mpendwa Remote,
Usijali...........wengine tuna thread za Mazabe, ndo mana hatupendelei kutag members....Hahahahahaaaaa!!!!!!!!
But jumuiko lolote ulionalo hapa, basi jua na wewe unahusika kwa Asilimia zote.
Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ....hata nikitoka nitarudi.Nimeacha ua langu huku au niondoke nae?

Karibu, lakini chonde chonde........Huku ni stress free, liache tu ua lako Mashemeji zangu akina Nicas Mtei na watu8 watakutunzia.
Hawa wanasali FGBF.
 
Last edited by a moderator:
Ulipomtaja tu Nicas Mtei,nimeghairi...Sitoki hapa!

Toeni Stress zenu hapa bhana,............ Nicas Mtei kamsubiri kule Siasani, Anakuja sasa hivi.
Tuacheni tupumuwe...........kule mnapaweza wenyewe.
HakyaMungu.....!!!!!!
BAN Nje Nje.
 
Last edited by a moderator:
hii imenitoa sana machozi siku ya jana.......
nikawaza enzi zile wakati tunasoma shule za serikali na tunapata one......
siku hizi shule hizo hizo ndo zinaongoza kwa 4 na 0
hapa lazima kuwe na maamuzi magumu, otherwise hali itakuwa zaidi ya kuuawa mapadre
hao laki ngapi woote unafikiria watafanya nini zaidi ya kusubiri kusikiliza wapi wanaandamana kudai gesi isisafirishwe nao wakajiunge?
na mwakani.... na mwaka kesho kutwa......
Mkwe nimesoma Moshi Technical Sec School... One of the best school by then.... Ukichaguliwa kwenda pale we ni kichwa mbaya. By then Moshi Tech, Old Moshi, Umbwe, Lyamungo, Weruweru, Ashira, Machame...... wacha kabisa.... VICHWAAAA!!! afu tunapambana kula nondo na mapadre wa MAUA, ST JAMES, KASITA et EL.... Seminary zilikuwa zinapata habari yetu enzi hizo eti siku hizi zimekuwa WAFALME???? Nyambaffffff. Kwenda seminary ilikuwa second option siku hizi ndio first priority............... BIA HOYEEEEEEEE!!!

Watoto kufeli bana..... anyway.... hommie Kaizer hebu niokoe mi nakasirikaga sana asee. Hivi siku hizi hakuna Juma na Roza? Hakuna Mr. and Mrs. Daudi???? Hakuna Baraka na Neema???? Dammmmmnnnnnnnnnnnnnnnnn!! Kweli 60% wamefeli kwa maana ya divisheni ziro????? Pumbaf kabisa. Siku hizi hakuna vitabu hata vya Willy Gamba??????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom