Dar Wing...pokeeni salam nyingi kutoka Arusha Wing

Dar Wing...pokeeni salam nyingi kutoka Arusha Wing

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468
Wana Dar Wing naomba niwaletee salamu nyingi kutoka kwa wana Arusha Wing,
Sina chakuongea kwakuwa ukarimu tuliofanyiwa hauna hesabu nisawa na mchanga wa mwaloni!Napenda kutoa shukurani kwa wana JF Arusha Wing kwa ukarimu mliotuonyesha kweli naweza kuthubutu kusema kwamba JF Arusha Wing is the read of all JF Wing's country wide!
Arusha wing naomba muendelee na moyo huo napeleka pongezi za pekee ziwaendee nyote! Blaki Womanihii ni yaupendeleo kwakuwa ulisimamia show!

CC; Preta, Arushaone, Erickb52, Crashwise, PakaJimmy, Maxence Melo, Liverpool fc Loner, sweetlady , Mungi, Lily Flower, Halisi,!!!!!

CC: Dar wing,
Mtambuzi, Madame B, Nivea, Smile, gfsonwin, raiza, babu mkaguzi ODM Asprin, Paloma, Ruttashobolwa, Kipaji Halisi, FirstLady1, cacico, Zion Daughter, Mwanajamiione, Tulizo, Chocolate, watu8, Vin Diesel,@figaniga,
 
Last edited by a moderator:
Tumezipata mkuu...shukrani sana
 
Waooh, asante sana KakaKiiza. Tunashukuru kwa kushukuru. Zaidi sana tunaahidi upendo kwa kila mgeni wetu.

Arusha Wing is Home to Guests and Homeless!

Karibu.
 
Last edited by a moderator:
salamu zimefika. vipi ulionana na mwanadada Preta?. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom