Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,163
- 28,809
Umemuacha Juliana Shonza?
Hilo nalo neno..
Last edited by a moderator:
Umemuacha Juliana Shonza?
Nijibu huo wivu.....
Ha ha ha,Kuniharibia tu huku.Tuliachana siku ya valentine
Muulize Madame B mwenyewe...wakuu mna wivu sijawahi kuona.Msiniloge tu.Silogeki....
Nicas Mtei,Majungu hayo......
Hauniharibii.
Madame B kwa bahati nzuri si mtu wa kusikiliza maneno ya watu.She's a woman of substance,focused and well determined
Ben Saanane jibu hapa, maana mtoto Shonza alikua na mnido wa kumtosha, kitu laini kama Madame B hutakiweza.
Huyu BS ni wangu.
Nitamuuliza akiwa kitandani nami.
Ha ha ha ,umewaumbua......duh.Thank you my luv,ndo maana nakupenda Laazizi wangu!Hebu tujilalie zetu,tuingie zetu nest hapa....
View attachment 84428
Nijibu huo wivu.....
Ha ha ha,Kuniharibia tu huku.Tuliachana siku ya valentine
Muulize Madame B mwenyewe...wakuu mna wivu sijawahi kuona.Msiniloge tu.Silogeki....
I miss you too, lile kumbatio la PJ sio mchezo hadi linatibu jamani!!Ha ha haaa Madame B usitake nicheke usiku huu nikaitwa mwanga loooool............lol.
Unakumbuka ulitaka kukwamia njiani, punzi ikawa km inapotea vilee.
Yaani acha tu those days bhana, unforgotable, CHUMVINI ha ha haaaa,hapa namkumbuka PakaJimmy kwa karibu saaaana "KUMBATIO" uwiiiiii acha kabisa.
Miss you all kwa kweli.
Wow.... airport watu haooo wanapaa Madame B hivi nani alikupandisha hapo kwenye ndege?Yaani ile njia achana nayo kbs,,,,,,,taa moja iko mbele, moja kati na ingine mwisho..........Nisimshike shati Arushaone nini, maana lile giza, ile nafika katikati sioni mbele.......Mie na Lily Flower nusura tulie, mpaka shem watu8 akanipa taa, pa kutokea sasa nusu nikwame......Mpaka naimaliza ile njia nyembamba niko hoooooiiiiiii........
Unapakumbuka Airport? Ile Ndege tuliyopanda?
![]()
Asante Mpenzi.
Hebu tujilalie zetu.
Tutafute mtoto wetu wa Pili.
We we we! Koma kabisa, mtafute mtoto 'wenu'? Yaani mtot wangu ndio unataka kumbinafsishia huu kijana wa pipozi?
Halafu we Ben Saanane si urudi huko siasani mkapeane stress? Huku umefuata nini jamani umekuja kutuharibia mingo?
Ben Saanane Ur the Only One.
Nakupenda sana.
Mapenzi unayonipa ni zaidi ya Ngoma droo.
Acha wachonge lakini sikuachi.
Love U.
Tulia hvo hvo kama unanyolewa.
Mwanangu mmempiga danadana mpaka nikasarenda.
Leo hii kajitokeza mfadhili,ndo mnajitokeza.
Naomba salamu hizi uwafikishie na waume wenzako huko waliko.
BS, tufanye yetu.
Ila endelea kunishawishi,naweza badili msimamo.
Madame B my love, hata kama ni ugomvi wetu naomba usimuumize mwanetu.
Kumpelekea huyu kijana wa pipoz ni kumharibu mwanetu, atavalishwa magwanda, maskafu, atafundishwa nyimbo za kimapinduzi na akifikisha miaka 5 tu ataanza kupigania haki yake kwenye familia.
Tafadhali nakuomba tuyamalize tu, bora hata akalelewe na mkongoman Chimbuvu.
Sitaki kitoto cha kuja kuandamana kikitaka kupelekwa shule mapema na miaka 3. Please do this for this innocent kid!
Red: Ni haki yake kufuata Itikadi ya Chama alichokuwako Step Dad ake.
Blue: Huyo ndo babayake halisi, hivo kwenda ni haki yake.
Green: Watoto hawa wa.COM, mwaka 1yuko shule, hivo si ajabu
UNA LA NYONGEZAAA...........!!!!!!!!!!