Hapo sijatumia nguvu yoyote .....je nikizitumia kiduchu tu itakuwaje???
Watu bwana yeye ukutumwa posta wakati anasoma primary??je hukusoma barua kwenye bahasha?/au yeye ndo shule za fm academia??kwenda kwa gari kurudi kwa gari! posta wanatuma courier asante kwakunifikishia ujumbe kwa Zion Daughter:smile-big:Mwambie afunguke tu lililo moyoni mwake,maana tangu asubuhi ana wewe tu.
Kwi kwi kwi kwi!!!Mie simo.Watu bwana yeye ukutumwa posta wakati anasoma primary??je hukusoma barua kwenye bahasha?/au yeye ndo shule za fm academia??kwenda kwa gari kurudi kwa gari! posta wanatuma courier asante kwakunifikishia ujumbe kwa Zion Daughter:smile-big:
Hapa tunadiskasheni gani
Niko kwen maombolezo ya form four results
...sawa..ujumbe umefika...Asante Shem kipaji halisi
hii imenitoa sana machozi siku ya jana.......dah! usiseme jamani shulen kwangu nina four na zero tu.
kiukweli ninahasira yenye uchungu sana moyoni mwangu.
hawa watoto wanapiga kelele sana sitaki usumbufu kwa sasa.
..hahahaahahaha. Madame B umetisha naona kitu cha AP hapo juu
hii imenitoa sana machozi siku ya jana.......
nikawaza enzi zile wakati tunasoma shule za serikali na tunapata one......
siku hizi shule hizo hizo ndo zinaongoza kwa 4 na 0
hapa lazima kuwe na maamuzi magumu, otherwise hali itakuwa zaidi ya kuuawa mapadre
hao laki ngapi woote unafikiria watafanya nini zaidi ya kusubiri kusikiliza wapi wanaandamana kudai gesi isisafirishwe nao wakajiunge?
na mwakani.... na mwaka kesho kutwa......
ha haaaaa, ndo maana nilikuwa nawaambia wamama wenzangu kuleeeee kwamba inabidi tuanzishe mkakati wa makusudi kabisa kuokoa jahaziHivi kuna kitu kweli ambacho hatujashindwa??
nasikia hadi vitandani tumekuwa weupe...lol!!
Tufwile bhanyambhala!!
Babu DC!!
ha haaaaa, ndo maana nilikuwa nawaambia wamama wenzangu kuleeeee kwamba inabidi tuanzishe mkakati wa makusudi kabisa kuokoa jahazi
kwani hawa si wametoka kwetu? kwa nini tukubali kushindwa kirahisi namna hii?
yaani kila sehemu ni vilio tuuuuuu, tutafika kweli?
umeona takwimu za kukosekana kwa watoto zinavyopanda? sasa si mwisho dunia itaishia?
Sasa unataka nani aturarue!
Babu tupe ruhusa turaruliwe polepole.
Eti Mjukuu mwenzangu Kongosho,twen'zetu.