...hahahahahahaha...haya kwani nimebishaaaaaaa....Wengine hatuna Ulevi mwingine zaidi ya huo.
...hahahahahahaha...haya kwani nimebishaaaaaaa....
J'MOSI 23 Feb Kutakuwa na kikao cha dharura pale 'LEO TUPO HAPA PUB' Kwa Mjeda kuanzia saa 12 jioni..Nadhani tutakuwa na muda mzuri wa kujadili yatarajiwayo.... Wadau wa White Party na wale watakaopenda kuhudhuria wanakaribishwa.... Kwa watakaoaka kuhudhuria PM zielekezwe kwa Madame B, Paloma na amu
Copy: cacico, gfsonwin, amu, kipaji halisi, Jiwe Linaloishi, Kaizer, Jeska, Asprin, Madame B, watu8, Mulama, Bujibuji, Zion Daughter, Remmy, snowhite, Paloma ...............

...eeh...kudadek...nakuja na note book ya kuandikia ajenda.. Madame BHapana kipaji halisi.
Kumbuka ni tar 23, Jumamosi.
tuanze sasa, hii inakuhusu pia wewe babuNadhani ni nature inafanya kazi yake...the less fit watapotezewa mbali ili kusafisha hali ya hewa...
I wish it was quick enough kwani .............
Babu DC!!
......pole sana...aiseee nimepata pm kama mia hivi.................nimekataa katakata hata kuwa hakuna kitu kama hicho....kwamba ni udaku...............kumbe maglass yangu yamenilead vibaya nilikuwa sijaona!!!
i must go back to them with the correct message now...............uuurrgggggggrrrrrrrhhh
...eeh...kudadek...nakuja na note book ya kuandikia ajenda.. Madame B
..hiyoo muhimu...hivi adhabu za utoro nini..?nikumbushe...Poa kipaji halisi.
Usisahau na Attendance Register, maana utoro umezidi.
kama unataka kujua njoo j'mosi tarehe 23 LTHP hapa jamvini hatutakujibu swali lako.
wanamnyanyapaa hubby wangu! roho yaniuma!nini tena mwali!?
mdogo wangu, kwanza kabisa nakupongeza kwa bandiko hili kwani umenijulisha kwa kioo kwamba kuna jambo mlijadili siku ya wp. sasa anza kwanza kuniambia yatokanayo na WP mlikubaliana nini kifanyike. pili kutokuwepo kwangu kwenye P haina maana kwamba uenyekiti wangu wa jf Dar wing mmeninyang'anya so kabla ya kupost jambo lolote mm mwenyekiti nilipaswa kujua cc Mtambuzi, Asprin na wee mwenyewe kwa utekelezaji.
Hapo kwenye red umekosea jukwaa siungepeleka kwenye matechnology au??siyo aina ya laptop??:dizzy:kama unataka kujua njoo j'mosi tarehe 23 LTHP hapa jamvini hatutakujibu swali lako.
hivi upo? ni wewe mtoro jamvini au mimi?Ehe!:tape2: