Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Habarini za muda huu wana wa chit chat.........
Kama Nilivyoongea Juzi kati kwenye Ile Thread niliyoianzisha kuhusu kukutana wana JF-Dar Wing, Inayoelezea maboresho yetu;
Hivyo Basi nikiwa Kama Katibu wa Muda wa Dar-Wing, Napenda Niseme yafuatayo:
1. Tumependekeza Siku ya kukutana iwe Jumamosi, yaani kesho-kutwa, tarehe 23,Kuanzia Saa kumi na moja Jioni.
2. Kiwanja Chetu cha Kukutania ni kile kile......'LEO TUPO HAPA PUB' kwa Mjeda, a.ka. Babaa ya tabasamu.
3. kuna PM nimepokea kutoka kwa wale ambao ni mara yao ya kwanza kufika 'LEO TUPO HAPA PUB' Msijali maelekezo
mtapata mwishoni mwa thread hii.
4. Jamani hii si ya kukosa, hasa kwa sie ambao tunajijua kabisa kuwa TUKO NDANI YA KLABU YA DAR.
5. Jamani tunaomba tuzingatie muda............Saa kumi na Moja Shapu, wote tuwe uwanjani.
6. Kutakuwa na mwezeshaji.......yaani; si ya Kukosa.
Jamani, Kule tunakokutana si nyumbani kwa mtu na wala si ndani ya daladala..........bali ni 'PUB' hivyo kama kawaida yetu tumeshajiaandaa vya kutosha kwenye sekta ya vinywaji Vikali.
Kule mtakutana na akina...Contessa Gin, Contessa Rum, Captain Morgan, Strawberry Lips, Govinder Kumar Brandy, Tequila, Grants Whisky, Bailey Liquor, jack Daniel whisky, Dompoooooooooo..........., Nederberg Crbinet Sauvignon bila kusahau vina san Pedro35sarrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.........
Kuna Zile za kwetu pia......Safari, kilimanjaro, Tusker, Serengeti,............Castle, nk.....nk.....nk.....!!!!!!!
Na kuna zile za Kunyumba........(mnazijua huko kwenye makabila yenu)
Jamani...............KARIBUNI SANA ILI TUPANGE MIKAKATI YA JINSI YA KUIBORESHA DAR-WING YETU.
CC: Mtambuzi, KakaKiiza, watu8, Vin Diesel, Fidel80, kipaji halisi, figganigga, Jiwe Linaloishi, noahism, bacha, Ruttashobolwa, Mulama, Bujibuji, Mwita Maranya, Chachu Ombara, Asprin, Zion Daughter, amu, Paloma, gfsonwin, lara 1, Jesca, Mamndenyi, ummu kulthum, snowhite, Remmy, mwaJ, cacico.
KARIBUNIIIIII.................
Madame B.
JINSI YA KUFIKA 'LEO TUPO HAPA PUB':
Ukifika Pale Mwananyamala A,njia Panda ya Kwenda Hospitali ulizia Shule ya Msingi M'nyamala Kisiwani.
Ukifika hapo shule,nyuma ya huo Ukuta wa shule ndipo ilipo hyo Pub.

Last edited by a moderator: