JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

tumianeni msg mnatumalizia server wakati hata kuchangia hamchangii
Umbea tu unawapeleka huko kukutana

Tena ukome kuchangia uzi nilioanzisha.
Umbea unaujua au unausikia?
We umechangia?
Chokolaization mkubwa we.
 
Tena ukome kuchangia uzi nilioanzisha.
Umbea unaujua au unausikia?
We umechangia?
Chokolaization mkubwa we.
Achana nalo jinga tu hilo, stress zimemzidi anashindwa hata pa kuzitolea, namshauri aende Venezuela kuna tiba ya kucheka, watu mnakutana mnacheka tu muda wote na maradhi yanakwisha.
 
Achana nalo jinga tu hilo, stress zimemzidi anashindwa hata pa kuzitolea, namshauri aende Venezuela kuna tiba ya kucheka, watu mnakutana mnacheka tu muda wote na maradhi yanakwisha.

Bora umenisaidia.
Watu wengine hamnazo kbs.
 
We Madame B toka lini mie nimekuwa mwanasiasa?

Mie niko well-rounded bana.

Naona sera zako zimekaa kisiasa siasa.
Ok Well Noted.
Vp bhana.
Jana nilikumiss kwa ule muda mfupi uliokuwa kizuizini.
 
Naona sera zako zimekaa kisiasa siasa.
Ok Well Noted.
Vp bhana.
Jana nilikumiss kwa ule muda mfupi uliokuwa kizuizini.

Hahahaa....wewe unanijua unaniskia? Mimi na kizuizini wapi na wapi bana?

FYI, sijawahi kuwekwa kizuizini mimi....those who know me get my drift:A S shade:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom