JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

Hii chiboko, hivi na wewe Ben Saanane na wewe huwa unafika humu? nlijua jukwaa lako ni lile la stress tu, watu wanatoana za uso, za pua, mtama....duh!

Ha ha eti mtama nimekumbuka mbali sana unapigwa mtama Saayo then jamaa linakunaniliu bila ridhaa hehe kaaazi kweli kweli
 
Ha ha haaaaa! umeona eh?? lile jukwaa sio mchezo aisee, mie huwa nanusa na pua na kuondoka....
 
Jaman muwe mnanitag kwenye thread zenu na mie nami napenda kujumuika huko
Mkuu unalazimisha umaarufu!hata za kwenda kitchen party unataka utagiwe?? Madame B kazi nikwako "Mkodobwe"lolz
 
Last edited by a moderator:
Mkwe nimesoma Moshi Technical Sec School... One of the best school by then.... Ukichaguliwa kwenda pale we ni kichwa mbaya. By then Moshi Tech, Old Moshi, Umbwe, Lyamungo, Weruweru, Ashira, Machame...... wacha kabisa.... VICHWAAAA!!! afu tunapambana kula nondo na mapadre wa MAUA, ST JAMES, KASITA et EL.... Seminary zilikuwa zinapata habari yetu enzi hizo eti siku hizi zimekuwa WAFALME???? Nyambaffffff. Kwenda seminary ilikuwa second option siku hizi ndio first priority............... BIA HOYEEEEEEEE!!!

Watoto kufeli bana..... anyway.... hommie Kaizer hebu niokoe mi nakasirikaga sana asee. Hivi siku hizi hakuna Juma na Roza? Hakuna Mr. and Mrs. Daudi???? Hakuna Baraka na Neema???? Dammmmmnnnnnnnnnnnnnnnnn!! Kweli 60% wamefeli kwa maana ya divisheni ziro????? Pumbaf kabisa. Siku hizi hakuna vitabu hata vya Willy Gamba??????
Mkwe mimi nashangaa sana tu, na siamini kama kweli hawa watoto wetu hawana huo uwezo wa kufaulu ila sisi tulio nje hatujui nini hasa kinafukuta huko ndani, labda wadau akina snowhite na gfsonwin wanaweza kutupa sababu haswaaa...
siku hizi imefikia hatua kwamba wazazi hata hawafwatilii matokeo ya watoto wao. mwaka juzi mwanangu alimaliza darasa la saba, na mpaka sasa yupo form two sijui kama alifaulu mtihani wa taifa na alichaguliwa shule gani. mimi nilikuwa na shule ambayo nataka akasome alipofanya interview na kufaulu huko basi sikutaka kujua mengine, na nina uhakika kuna wazazi wengi wapo kama mimi.
 
nashukuru kwamba umeona tatizo ambalo wazazi wengi mnalo. Leo hi nikuuuliza mwanao alifaulu vipi mtihani wake wa annual hujui manake si kazi hata report form hukufwata. mbaya zaid hata huko shulen huendi kujua kama anasoma kweli ama anacheza tu.

mtt hafuatiliwi kama anakaua kiakili ama anarudi nyuma, mtoto haangaliwi anasoma katika mazingira rafiki ama sio, mtoto hakuzwi katika uwezo wa kujitegemea bali katika uwezo wa kuwa tegemezi milele.
mbaya zaid ona hao wa huko ilemela yaani mwanafunzi hata pa kulala hana eti mzazi umetoa ada sasa hujui analala wapi am nini anasomea kwenye mapaja hivi unategemea afaulu huyo??

serikali ndo kabisaa so long as najuana na kamishana ama katibu wa elimu basi kijitabu changu cha kufundishia physics nilichiokiandika kitatumika hata kama hakikidhi viwango. utitiri wa vuitabuu vya kiada visivyo kuwa na viango bali vinapotosha elimu, utitiri wa vitabua vinavyopitshwa na mkutubi mkuu lkn vinafundisha uongo, achilia mbali mapamfleti ambao yanasema uong mtupu na yasiyosema kweli ambayo yanachochea rot learning bado tunYendekeza na kuona ni suluhu kwa watoto wetu.

hebu turudishe vitabu vyetu viwe NELKON, LAMBART, UNIVERSITY PHYSICS, BIOLOGICAL SCIENCES, FUNCTIONAL APPROACH, MANCHANSTER, MZUMBE PROJECT, TAASISI YA KUKUZA MITAALA UONE KAMA WATOTO WETU HAWATAPATA MAARIFA KUSUDIWA.

Si tu shule za rikali balia hata shule za private ishu kubwa hapa ni aina ya wanafunzi, utayari wao kwenye kusoma, aina ya vitabu wanavyojifunzia na uwepo wa mwl mzoefu kwenye somo husika.
 
asante mwalimu kwa maelezo haya mazuri sana ambayo sisi tuliopo nje ya hii tasnia tunaweza tusijue.
Ila hapo kwenye RED rafiki umenionea, lol! (najua hujanisema mimi)
Ni muhimu sana kufwatilia maendeleo ya mtoto anapokuwa shule hata kama umetingwa namna gani. kulipa ada tu haitoshi. mimi nina watoto pale home ambao hawakubali homework zao ziende kwa mwalimu kabla hujazipitia..... wakikukosa usiku basi ujue asubuhi unalo..... na usipofanya hivyo ujue kesho yake lazima usutwe kuwa hukupitia h/w ya jana. na ole wako hiyo h/w asipate zote..... atakukumbusha kila anapoona kosa kuwa ungepitia asingekosa.
hayo mengine ya vitabu vya kufundishia yapo nje yetu, au sijui na sisi wazazi tuandamane kupinga vitabu vibovu! maana hasara tunapata sisi
 
siku maanisha wewe ila nimekutolea mfano tu ili ujumbe ufike kwa walengwa.

ni muhimu sana kwa mzazi kufuatilia maendeleo ya mwanae kila iitwapo leo na ni vyema zaid kila mzazi akawana baidii ya kumfanya mwanae apende shule na sio kuwa mtoro. kama wazazi wa hapa mjini hakuna anayeoona kuna umuhimu hata tu wakuhakikisha kama mwanae amekwenda shule na kafka shule kweli. wengi huishia kuwapa nauli basi kama akafika ama hajafika si juu yao.

to me mwanangu wa class 2 huwa ni lazima aende shule na akijichelewesha schoolbus ikimuacha basi atapanda basi afike shule. atavukaje barabara ya morogoro na magari mengi nna hii atajua mwenyewe ila ninachotaa afike shule. so ilibidi apate akili siku akichelewa schoolbus huomba mtu amvushe barabara ili apande daladala. na namvutia kasi tu akifika darasa la 4 kuendelea basi akikosa schoolbus anatembea kweda shule hakuna cha nauli wala nin.l

leo hii mahali pa km 3 mtoto anapanda gari tena mwanafunzi wa form2 kuendelea?? kukiwa na tabu ya usafiri siku hiyo shule ataingia hata saa 4 baada ya break kisa usafiri tabu ujinga huu.............mzazi angejua haya lazima huyu mtoto angetembea asbh kwenda shule kwa miguu.

kuhusu vitabu hili limetufanya hata wengine tukapewa mabarua ya onyo faili sasa limejaa............ukikosoa kitabu mara utaambiwa fulan ni rafiki yake fulan hukupaswa kumsema namna hii. mara ooh lugha za mwl hazikutakiwa kuwa hivi mara oooh hukutakiwa kumwandikia fulan barua hii ulipaswa ianzie kwa fulan kumbe ni itifaki za kinafki tu hazina tija yyte ile kwa wanafunzi wetu.

siku taasisi ya ukuzaji mitaala inapokuleteni class text books unakuta kwenye hiyo reading list vile vya fulan ndo vinaongoza. mwl unafanya nini?? serikali irudi ituulize waalim nn sababisho la watoto kufeli tungeiambia ukweli.

siku hizi mtoto anayejua kucheza mziki na kuimba ni bora kuliko anayejua kusoma na kuandika, mbaya zaid unakuta mzazi anajisifia jamani Ali wangu anacheza mziki huyu balaa. nyumban kabati la tv limejaa DVD za miziki na filamu toka juu had chini utafikiri studio ya kurekodi. kila mtoto ana simu humo ndani hadi mtu unajiuliza hivi familia inamuduje kula na kumiliki simu nyigi kiasi hiki??

kama kuna computer nyumban ni game mwanzo mwisho na kuburn cd full stop hukuti mtoto anasoma lolote mbaya zaid jion baba/mama unarudi na gazeti la KIU ama SANI kila siku skendo zote mbaya watoto wanazijua na kila staa anamjua yeye ila muulize what is cell unaambulia kilio.

huwaga najiulaiza hiv kwan akili zao zinakamata sana ujinga huu kuliko masomo?? ama kwasababu hayatahiniwi haya?? pengine kungekuwa na mtihani unaouliza umbea wa mjini basi labda wangekuwa wanafeli kama wanavyofeli kwenye masomo masomo.
 
Bro mkubwa Mtambuzi hii fungulia thread fungua we mwenyewe mpaka mtu aipe hii page ya 6 washakunaku kama mie ndo wataipekenyua na kuisoma
J'MOSI 23 Feb Kutakuwa na kikao cha dharura pale 'LEO TUPO HAPA PUB' Kwa Mjeda kuanzia saa 12 jioni..Nadhani tutakuwa na muda mzuri wa kujadili yatarajiwayo.... Wadau wa White Party na wale watakaopenda kuhudhuria wanakaribishwa.... Kwa watakaoaka kuhudhuria PM zielekezwe kwa Madame B, Paloma na amu

Copy: cacico, gfsonwin, amu, kipaji halisi, Jiwe Linaloishi, Kaizer, Jeska, Asprin, Madame B, watu8, Mulama, Bujibuji, Zion Daughter, Remmy, snowhite, Paloma ...............
 
Last edited by a moderator:
siku maanisha wewe ila nimekutolea mfano tu ili ujumbe ufike kwa walengwa.

ni muhimu sana kwa mzazi kufuatilia maendeleo ya mwanae kila iitwapo leo na ni vyema zaid kila mzazi akawana baidii ya kumfanya mwanae apende shule na sio kuwa mtoro. kama wazazi wa hapa mjini hakuna anayeoona kuna umuhimu hata tu wakuhakikisha kama mwanae amekwenda shule na kafka shule kweli. wengi huishia kuwapa nauli basi kama akafika ama hajafika si juu yao.

to me mwanangu wa class 2 huwa ni lazima aende shule na akijichelewesha schoolbus ikimuacha basi atapanda basi afike shule. atavukaje barabara ya morogoro na magari mengi nna hii atajua mwenyewe ila ninachotaa afike shule. so ilibidi apate akili siku akichelewa schoolbus huomba mtu amvushe barabara ili apande daladala. na namvutia kasi tu akifika darasa la 4 kuendelea basi akikosa schoolbus anatembea kweda shule hakuna cha nauli wala nin.l

leo hii mahali pa km 3 mtoto anapanda gari tena mwanafunzi wa form2 kuendelea?? kukiwa na tabu ya usafiri siku hiyo shule ataingia hata saa 4 baada ya break kisa usafiri tabu ujinga huu.............mzazi angejua haya lazima huyu mtoto angetembea asbh kwenda shule kwa miguu.

kuhusu vitabu hili limetufanya hata wengine tukapewa mabarua ya onyo faili sasa limejaa............ukikosoa kitabu mara utaambiwa fulan ni rafiki yake fulan hukupaswa kumsema namna hii. mara ooh lugha za mwl hazikutakiwa kuwa hivi mara oooh hukutakiwa kumwandikia fulan barua hii ulipaswa ianzie kwa fulan kumbe ni itifaki za kinafki tu hazina tija yyte ile kwa wanafunzi wetu.

siku taasisi ya ukuzaji mitaala inapokuleteni class text books unakuta kwenye hiyo reading list vile vya fulan ndo vinaongoza. mwl unafanya nini?? serikali irudi ituulize waalim nn sababisho la watoto kufeli tungeiambia ukweli.

siku hizi mtoto anayejua kucheza mziki na kuimba ni bora kuliko anayejua kusoma na kuandika, mbaya zaid unakuta mzazi anajisifia jamani Ali wangu anacheza mziki huyu balaa. nyumban kabati la tv limejaa DVD za miziki na filamu toka juu had chini utafikiri studio ya kurekodi. kila mtoto ana simu humo ndani hadi mtu unajiuliza hivi familia inamuduje kula na kumiliki simu nyigi kiasi hiki??

kama kuna computer nyumban ni game mwanzo mwisho na kuburn cd full stop hukuti mtoto anasoma lolote mbaya zaid jion baba/mama unarudi na gazeti la KIU ama SANI kila siku skendo zote mbaya watoto wanazijua na kila staa anamjua yeye ila muulize what is cell unaambulia kilio.

huwaga najiulaiza hiv kwan akili zao zinakamata sana ujinga huu kuliko masomo?? ama kwasababu hayatahiniwi haya?? pengine kungekuwa na mtihani unaouliza umbea wa mjini basi labda wangekuwa wanafeli kama wanavyofeli kwenye masomo masomo.
well said rafiki na wazazi tumekusikia.....
 
Ila nitakuwa na kutagi ndugu yangu usikwazike sawa Remote???

alafu nilimaanisha ku'mention... Haina nouma kaka, nimegundua chitchat sehemu nzuri sana.

Huwa napenda siasa nikivurugwa kule nakuja huku ku'refresh
 
Last edited by a moderator:
Toeni Stress zenu hapa bhana,............ Nicas Mtei kamsubiri kule Siasani, Anakuja sasa hivi.
Tuacheni tupumuwe...........kule mnapaweza wenyewe.
HakyaMungu.....!!!!!!
BAN Nje Nje.
Mbona unachart sana na BS?
Talaka 1 (Yellow Card) inakuhusu we mdada!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom