JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!

Unasemaje Madame B ? Unataka kugandiana na Ben Saanane? Ngoja nichukue dawa chap pale kwa Katavi.

Hata Simuogopi huyo Katavi wala wewe.......
Unakumbuka kuwa Siku ya Valentine ulinitosa ukaenda kukesha na nani?
Leo hii unanifata..........tangu tarehe 14 ndo nakuona leo, mwanaume mbaya weweeeeeee......
Nipishe huko, Na dawa zako hazitugandii ng'oo Arushaone.
 
Last edited by a moderator:
Badala ya muda mfupi mileage inaongezeka.ha ha ha

Vipi swits Leo tusi-chilly home.unaonaje?

Hata mimi nilikuwa nawazia Jambo hilohilo........
Hivi kwa nini Tusiende mbali na Mji tuka-chilly kwa kujinafasi?????
Sasa ngoja mie nikaoge ili nijiandae tutoke Swirii wangu.
 
Ha ha ha haaaaaa, nimecheka sana. Sipati picha ndo tumeshalipuka......lol

Nimekumiss sana we mdada

Yaani hapo kwa Bold, Hunishindi mimi my Dear, nikikumbuka Tanga......Amboni....Pangani..........Chumvini,
Pale Maryland Lodge...Dahhhh!!!!!!!!! Nawamiss jamani
CC: Arushaone, Filipo, PakaJimmy my Dr, watu8, CHUAKACHARA, Dark City, Mwanyasi... Preta, Blaki Womani, Lily Flower, marejesho, werawera, wewe mwenyewe KOKUTONA, mie Madame B na Arabela.
Unaikumbuka njia nyembamba kule Amboni........lile giza si mchezo atiii.
IMG_3612.jpg

Unaikumbuka hii staili ya kutoka kwenye Njia Nyembamba ilivonishinda mpaka nilatoka natambaa kwa mikono.
redds.bmp
 
Ha ha haaa Madame B usitake nicheke usiku huu nikaitwa mwanga loooool............lol.

Unakumbuka ulitaka kukwamia njiani, punzi ikawa km inapotea vilee.

Yaani acha tu those days bhana, unforgotable, CHUMVINI ha ha haaaa,hapa namkumbuka PakaJimmy kwa karibu saaaana "KUMBATIO" uwiiiiii acha kabisa.

Miss you all kwa kweli.
 
Yaani ile njia achana nayo kbs,,,,,,,taa moja iko mbele, moja kati na ingine mwisho..........Nisimshike shati Arushaone nini, maana lile giza, ile nafika katikati sioni mbele.......Mie na Lily Flower nusura tulie, mpaka shem watu8 akanipa taa, pa kutokea sasa nusu nikwame......Mpaka naimaliza ile njia nyembamba niko hoooooiiiiiii........

Unapakumbuka Airport? Ile Ndege tuliyopanda?
p1220084.jpg
 
Na ungezimia siku ile i see......tukaambiwa na ya kwendwa mbinguni ndo iko vile vile ha ha haa..........

Nisipakumbuke mchezo.....pale tuliposema bye bye byeee tukapanda ndege yetu......
 
Wewe KOKUTONA, me mwanajeshi, nisingezimia.
Poa Mpenzi........Usiku mwema, tukutane Kesho.
Maana Chimbuvu ashaanza kunisumbua........sijui anataka nini.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom