Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
ah ah ....! U make me happy jamni wewe Dena Amsi pamoja na wenza wako kama Nicas Mtei na charminglady
aisee. Matokeo yenu ya form four hayajatoka bado?
aisee. Matokeo yenu ya form four hayajatoka bado?
yeah Dena Amsi...na hapa najalibu kujifunza luga mnayotumia umu..
Bado ndio maana dogo anajifunza mambo ya kikubwa ya kumpenda charminglady hana cha kufanya huyu mtoto
Ni kweri charminglady naomba uwe mwalimu wangu wa language jamani
Duh! nyie ni wachambuzi wa luga ya kiswahiri nini?
Unahamu?
Sema kilichokuleta
pengine utapatiwa msaada.
Unamaanisha hamu gani aliyo nayo, mwalimu wangu wa lugha.
Unamaanisha hamu gani aliyo nayo, mwalimu wangu wa lugha.
Nicas Mtei uwe mwalimu wake kweri bana...
Unahamu?
Nimezaliwa Amani na Upendo na nina Ishi amani na upendo. Sitafuti kitu ila nilipita huku kuchangamana nanyi, nimegundua siwawezi.