Jf bhana!

Jf bhana!

Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.

Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....

Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Hakuna ukweli wowote kwenye hii thread yako.

Kwa kifupi hii ni CHAI tu kama chai zingine.
 
Ni dalili ya umaskini uliokithiri
Kutokuelimika licha ya mtu kwenda madarasa.
Dalili ya ubinafsi usiomithilika.
Chuki na tatizo la kisaikolojia linalotokana na trauma za malezi

Hata kuponda Nyumbu sijui Mbogamboga haya kwenye jambo linalohitaji mjadala ni dalili ya upumbavu
Chai
 
Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.

Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....

Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Hata mlivyomuanika Muhaya na Id zake 100 haikuwa powa kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom