Hujakutana na matusi ya watu wa facebook,Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Ukipata likes nyingi inaonyesha n kwa namna gani watu wanakubaliana na comment yako, hili ndo lengo kuuMnaotafutaga likes Huwa zinawasaidia nini mnifundishe na Mimi🤔
Na ukitaka uvulugwe ulete mada za kina tlaahtlaah na Mwashambwa, duuh!Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Hakika MkuuHujakutana na matusi ya watu wa facebook,
Kikubwa ni kutotilia maanani kila jambo la humu, ingia peruzi sepa
Hao hawajawahi kuvulugwa Ndo mana Mada zao zina comment nyingiNa ukitaka uvulugwe ulete mada za kina tlaahtlaah na Mwashambwa, duuh!
Nina maanisha zinazofanana!Hao hawajawahi kuvulugwa Ndo mana Mada zao zina comment nyingi
Singlemom ni wakugongwa tuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
😁😁😁😁Pole mamie, watu wa hivyo na wale wanaotukana matusi ya nguoni, wananiboa sana!
Naongezea 👇 hawa wanaosemaga hivi 🤬😵💫;
6. Mwandiko wa kiume huu, huwezi kua mwanamke