Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,758
Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Hii week To yeye amechafukwa sana
Tuimalize tuanze week mpya kesho