min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,290
- 130,519
Usichukulie mambo serious
Usichukulie mambo serious
Elewa concepts yangu.AsanteLike za nini sasa kwenye mawazo yako mkuu? Wanawake mnadeal na vitu visivyo na maana kabisa.
Kuna sisi hta hatujui hiyo like yake inanisadia nini mimi muhimu uni quote hapo sawa nitajua mawazo yangu umeyapenda au hayajanipenda utajua atajua mwenyewe
naam, na kwenye mitandao "roasted" , "roasting", "cooked" hazina miaka mingi zitatoa kwenye mitandao na kufika kwenye jamii moja kwa mojaNa inareflex balaa
Ukiacha hili mkuu pia hizi id's za kike wengi wao always wanatarajia ile speed waliyoingia nayo humu ya kukubalika basi ibaki vilevile bila kujua kuwa wengi humu niwaigizaji wazuri tu wa maisha ya kifahari na kujifanya wao na safari za ulaya ni kufumba na kufumbua na dada zetu wakisikia maisha mazuri huo ndio ugonjwa waoHamna maisha nje ya jf? Ingia angalia mada kama ni kubadilishana mawazo na members fanya hivo Toka endelea na maisha yako, tatizo watu wanafanya jf kama sehemu ya kutafta sympathy kwenye maisha Yao, mtu anakua anataka attention kutoka Kwa watu hata hamjuani..
To be honest Sio sawa ila ndio binadamu na inabidi uwazoee.Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Naunga mkono hojaModerator hii kenge ipigeni ban ya maisha.
Kaweka pilau jukwaaniKakufanyaje tena
Na ikigundulika ana nyingine zipigwe ban haraka sana , hata akifungua mpya ikabainika apigwe ban tuNaunga mkono hoja