Pamoja, karibu sana, RafikiNa kwako pia mkuu
😂😂😂 Kuna wewe na huyu BICHWA KOMWE - hamjawahi kuwa serious 😂😂😂Minaona tatizo lilianzia pale alipo msema kwa issue ya kunywa whisky pale magogini, na ndio maana alimtengua .....🙄
ChaiYaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.
Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....
Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Usiku mwemaBarikiwa, usiku mwema
🤣🤣🤣Mh,aiseeMfano kama mimi
Nikikutana mada au posti ya mtu ya uzushi na uzwazwa...
Huwa sicheleweshi, ni anakula za uso kwa lugha mbovu kwa kwenda mbele...
Na akileta matusi kujihami, kwangu ndio amefika , atatafuta pa kutokea, hata kama ban itanihusu.....
Mimi humu kila mwanaJF ni kichwapumbu until proven otherwise.....