Jf bhana!

Jf bhana!

Ni dalili ya umaskini uliokithiri
Kutokuelimika licha ya mtu kwenda madarasa.
Dalili ya ubinafsi usiomithilika.
Chuki na tatizo la kisaikolojia linalotokana na trauma za malezi

Hata kuponda Nyumbu sijui Mbogamboga haya kwenye jambo linalohitaji mjadala ni dalili ya upumbavu
Naunga mkono hoja
 
Umu ni kuchuja tu baadhi ya mambo japo kuna majukwaa hayanaga mambo ya kijinga kama jukwaa la ujenzi ambalo mimi kama saidia fundi linanipaga maarifa sana juu ya hii fani yangu especially napotarajia kua fundi kamili.
 
Upo sahihi mkuu
 
Yaan hii forum imegeuka kama sehemu ya brutal, harassment na takataka zote.

Yaan ukitaka umfurahishe mtu humu na siku yake iende njema au upate likes nyingi kwa comment yako basi comment haya maneno:..
1.chai
2.wewe ni Malaya tu
3.wewe ni shoga
4.Singlemom ni wa kugongwa tu
5.Mengine mtaongezea....

Ila haijakaa poa sana wakuu.Si nzuri sana kiubinadamu.
Ila mm ndio kwanza nasikia kwako mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom