Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road)
Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala.
Kinachonishangaza ni vile wako team work kila mtu anasonda kila daladala elf mbilimbili yake utazani wamepewa target ya makusanyo na viongozi waliowatuma!
Kama mambo meupe na mepesi kama hayo yanayoweza kuonekana hata na kipofu, napata mashaka na uwezo wa TAKUKURU Vinginevyo hilo Jambo lina BARAKA ZA WAKUBWA!
Hakika hayo ni matumizi mabaya sana ya sare za polisi na kodi za wananchi!
Maana sielewi kama kweli wanafanya kazi za jeshi au wanatumia sare za jeshi kufanya kazi zao binafsi!
Kama hili linabaraka basi halina tofauti na vibaka waliovaa sare!