Mkuu nchi yetu bado ni koloni la Tanganyika kiukweli hatujawahi kuwa na rais zaidi ya nyampara linalosubiri maelekezo kutoka kwa malkia Elizabeth wa Tanganyikanyie wapemba acheni kulia lia,kwani mkapa alikuwa rais wa Zanzibar ? ,kosa ni lenu ,kwani rais wenu alikua na kazi gani ?