Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

1. TCU
2. NSSF
3. Uwanja wa mpira wa Taifa
4. Ofisi za Umma kuanza kuwa na hadhi
5. Mpango wa Elimu ya msingi MMEM
6. Mpango wa kupunguza umasikini MKUKUTA
7. Mpango wa kurasimisha biashara MKURABITA
8. Wakala wa Barabara TANROADS
9. Kusamehewa Madeni
10. MEMKWA
11. Kupandisha pato la Mtanzania kutoka dola 170 mwaka 1995 hadi dola 500 mwaka 2005 kwa mwaka (Ongezeko la Gross National Income per Capita)
12. TBC
13. Kuboresha huduma za Afya za hospitali za serikali
14. Kuongeza shule za sekondari nchini mifano michache ni kama vile shule ya Kambangwa na Benjamin Mkapa Dar

15. VAT
16. NHIF
17. Daraja la Mkapa la Mto Rufiji
18. Aliacha Hazina iliyonona

Mkapa alijenga Taasisi ambazo hadi leo tunanufaika nazo

Nyongeza...

Hayati Benjamin W Mkapa ndo mfadhili pekee (sponsor) wa idara ya usalama wa Taifa aliyeiweka taasisi hii kisheria...

Mwaka 1996 alisaini sheria inayoainisha majukumu na mipaka ya usalama wa taifa (UWT) kabla taasisi hii ilikua inaiendeshwa kwa mfumo wa taasisi ya kufikirika...
 
Hivi Generali anaiva na nani?
Jakaya aliiva naye siku chache sana za mwanzonimwanzoni mwa utawala wake.
Labda JPM anaiva nae.

Kwa awamu ya5 alisema kama 'taifa amerudi miaka50 nyuma'

Na ilikuwa ile mwanzoni mwa 2016,na ukipiga hesabu hii ni 2020; labda hajui hesabu

Na sio aliyomaanisha yaani 1966 ya generali anayoitaka
 
Nyongeza...

Hayati Benjamin W Mkapa ndo mfadhili pekee (sponsor) wa idara ya usalama wa Taifa aliyeiweka taasisi hii kisheria...

Mwaka 1996 alisaini sheria inayoainisha majukumu na mipaka ya usalama wa taifa (UWT) kabla taasisi hii ilikua inaiendeshwa kwa mfumo wa taasisi ya kufikirika...

Aliunda TISS hii ya kisasa ambayo kszi yake ni kukusanya taarifa na kuzianalyse na kupendekeza action, kabla ya hapo hao jamaa wa Usalama wa Taifa nao walikuwa wakikamata watu etc.
Kiufupi alisaidia kuiweka breki hii taasisi isiumize watu hovyo
 
Jenerali kaonyesha immaturity kubwa kwenye hii Interview.


Mkapa kipindi cha utawala wake Alidhibiti mfumuko wa bei, hata nauli ya daladala ilibaki shilingi 150 kwa muda mrefu sana kwenye utawala wake

Alipandisha kipato cha mtanzania kutoka dola 170 kwa mtu hadi 500 kwa mtu kwa mwaka.

Alijenga Taasisi imara, TCU, NHIF, NSSF, TANROADS, LOANSBOARD.

Alikuwa na Programmes za maendeleo kama vile MKUKUTA, Mkakati wa kuondoa umasikini Tanzania, MMEM Mpango wa Elimu ya Msingi, MEMKWA, MKURABITA

Ni Mkapa ndiye aliyewaita wenye magazeti ya Mwananchi na The Citizens waje wawekeze Tanzania

Ni Mkapa ndiye aliyeanzisha TV ya Taifa (TBC1)

Ni Mkapa ndiye aliyetujengea uwanja bora kabisa na wa kisasa wa mpira hapa Dar

Pia alikuwa Jasiri kukiri makosa na kurekebisha, Serikali yake ilipounda Bodi ya Parole na kuweka wakiristo watupu, alikuwa wa kwanza kuona tatizo na immediately kuamua kuivunja na kuiunda upya.

Mitihani ya kidato cha nne ilipovuja kama njugu mwaka 1998, Aliifuta mitihani na kuleta mingine.

Waislamu walipolalamika kuwa hawajanufaika ipasavyo na matunda ya uhuru katika elimu, aliwapa majengo ya Tanesco wajenge chuo chao lakini wakati huohuo pia akabalance kwa kuwarudishia makanisa baadhi ya shule zao zilizochukuliwa na Nyerere

Sasa Jenerali Ulimwengu asilete chuki zake binafsi kwenye msiba wa mzee wetu.

Na kabla ya kuwa rais, Benjamin Mkapa alifanya kazi nzuri sana kama waziri wa. mambo ya nje kipindi cha Vita vya Kagera na pia alifanya kazi nzuri sana kwenye ukombozi wa kusini mwa Afrika

Mzee Mkapa katutoa mbali, Jenerali akae na chuki zake lakini tunayo rekodi nzuri ya kutukuka ya mzee wetu
Rekodi ya kutukuka...!!¿
 
I was very tense when the president of Zanzibar, Salmin Amour44
sought to extend his presidency to an unconstitutional third term. This
was a difficult time for me because I didn't want to appear to be dictating
to the Zanzibaris, yet at that same time I had the principle of the two-
term limit to uphold; I was also conscious of history, when Mwalimu
had removed the second president of Zanzibar, the late Aboud Jumbe.
Although I had received several delegations of elders from Zanzibar
pressing for the extension to a third term, I knew deep down that there
was enough talent in Zanzibar to find a new candidate for the presi-
dency; there was no extraordinary reason why Amour should extend his term in office. Really, he had no basis for his argument for a third
term.

As the president of the Union and chairman of the ruling party it
fell to me to be tough and I was determined not to have our constitu-
tion changed, so I made necessary preparations for what I feared would
be my showdown meeting with Amour at the CCM national executive
committee meeting during early March, 2000. The final decision was
made by the national executive committee, the decision was not mine to
determine, though of course I was the chair. I explained the argument
on both sides, I allowed discussion and so on. I knew that if I failed I
would have been truly catastrophic for Tanzania.

We didn't even get t
that point at the meeting, as Amour took the wind completely out of ou
sails by assuring us that he was not seeking a third term. I think Amour
and his supporters realised I was determined to defend the two-term
limit for the presidency of Zanzibar using all means at my disposal. I don't think he was prepared to push me to the limit. I was truly relieved,
and everyone was surprised when we both emerged from this meeting in
good spirits.

I am proud that I managed to maintain the unity of my
country this way.
Zanzibar had had no national flag since the union in 1964 and I was
happy that a national flag for Zanzibar was adopted during my time
though their having a twenty-one-gun salute on Revolution Day elevates
the president of Zanzibar to the same status of the president of the
Union; which is not an issue as the powers of each leader are spelt out in our constitution.
 
Ulimwengu ni kati ya watu muhimu sana hasa kwenye sector ya habari, tatizo ana chuki kubwa sana na walio madarakani, huwa nahisi kuna vitu personal vinaendelea kati yao ambavyo hatuvijui.
Humwelewi, Huyu ni mwanazuoni wa kaliba ya akina Issa Shivji, akina Museveni, Walter Rodney na Mkapa mwenyewe and etc. anajua anachosema, anaona tunavyoongozwa Sasa haikubaliki tunachezewa tu kama Wanasesere...akina Prof.Mukandala wanamwelewa, na Mkapa mwenyewe akiwa hai angemsikiliza na wangebishana kwa hoja za kisomi...

Siyo akina Jiwe wanaoutumia bunduki
 
Internal and Foreign Relations

Relations with Zanzibar were somewhat sensitive during my time and I
am thankful that we were able to settle differences which arose, as I am
a great believer in the Union, as we call it. It is important for both the
Mainland and Zanzibar, as our economic relationship is strongly inter-
connected with our lands so close; while another factor is protecting
the security of both territories.

Furthermore, the cost of maintaining a
modern state that is truly independent would be prohibitive for a small
place such as Zanzibar; it would set them back economically.

Though I do wonder whether I could have been more proactive in strengthening
the Union, as some Zanzibaris continue to regard us Mainlanders as
oppressing them and matters of sovereignty continue to arise as a sore
point now and then. Regrettably relations have been delicate for decades.
I think it was Hassan Nassor Moyo and Salim Said Rashid, members of
the first cabinet of the revolutionary council, who told me that towards
the end of Sheikh Abeid Amani Karume's life relations were strained
petween Mwalimu and him.

Fundamentally the underlying issue in
Zanzibar is the almost antipathy between the ruling party and the oppo-
tion party; irrespective of whether this animosity is rooted in misbelief
history, it was and continues to be a matter of concern to me.
 
Back
Top Bottom