Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Ulimwengu kasema kweli hapo kwenye ubinafisishaji. Angalia Tanesco na wale wa South nimesahau jina lao. Board ya mikopo mpaka leo ni uozo tu.Binafsi natafuta la kumkumbuka Mkapa lililo zuri wala sioni zaidi ya Yeye na Koffi Anan kusaidia Raila Odinga na Kibaki wakaelewana kwa kuanzishwa cheo cha waziri mkuu kwa term moja.
Tanesco = Net Group solutions
Hivi Air Tanzania na South Africa Airways haukua kipindi chake?
 
Mara ngapi ameongea!? Je, unahudhuria/tazama makongamano mbalimbali yanatomuhusu!?
Au unaropokwa hapo kwenu kongwa!!
Huwa anajilambalamba tu hajawahi kumfyatulia magu moja kwa moja na pia nimemsikia mara kadhaa akisifia sifia tu kwa mafumbo.
 
Huo ndio muono wake ww unataka kama hambo analiona jema aseme baya!?
 
Tanesco = Net Group solutions
Hivi Air Tanzania na South Africa Airways haukua kipindi chake?
Asante kwa kukumbusha ,Net group solutions sijui waliishia wapi. Nakumbuka mkapa Alienda Buzwagi akapewa bonge dhahabu na kwenye tv tukaona. Mambo ya kampuni za kuchimba dhahabu ndo kipindi cha Mkapa. Resolute wametuachia mashimo tu pale Nzega.

Nyumba za serikali ndo usiseme. Sasa wanahangaika kujenga nyumba mpya wakati pale Dodoma Uzunguni waliuziana. Nilishangaa juzi Magufuli anasema atoe pesa za kujenga nyumba za wafanyakazi. Wamesahau kabisa waliuziana nyumba za umma nchi nzima.
 
Ulimwengu kasema kweli hapo kwenye ubinafisishaji. Angalia Tanesco na wale wa South nimesahau jina lao. Board ya mikopo mpaka leo ni uozo tu.Binafsi natafuta la kumkumbuka Mkapa lililo zuri wala sioni zaidi ya Yeye na Koffi Anan kusaidia Raila Odinga na Kibaki wakaelewana kwa kuanzishwa cheo cha waziri mkuu kwa term moja.

1. TCU
2. NSSF
3. Uwanja wa mpira wa Taifa
4. Ofisi za Umma kuanza kuwa na hadhi
5. Mpango wa Elimu ya msingi MMEM
6. Mpango wa kupunguza umasikini MKUKUTA
7. Mpango wa kurasimisha biashara MKURABITA
8. Wakala wa Barabara TANROADS
9. Kusamehewa Madeni
10. MEMKWA
11. Kupandisha pato la Mtanzania kutoka dola 170 mwaka 1995 hadi dola 500 mwaka 2005 kwa mwaka (Ongezeko la Gross National Income per Capita)
12. TBC
13. Kuboresha huduma za Afya za hospitali za serikali
14. Kuongeza shule za sekondari nchini mifano michache ni kama vile shule ya Kambangwa na Benjamin Mkapa Dar

15. VAT
16. NHIF
17. Daraja la Mkapa la Mto Rufiji
18. Aliacha Hazina iliyonona

Mkapa alijenga Taasisi ambazo hadi leo tunanufaika nazo
 
Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
Ni raisi pekee,kama sio ktk nchi za Afrika,aliyeweza kukusanya mapato,na kuanza kulipa madeni ya nje,ya world bank,na IMF,
Ila alikuwa haambiriki,ubinafsishaji,aliingiza nchi chaka
 
ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali, aliharibu uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!!

ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!

Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALIS and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!

Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake!!

By the way amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.

Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
Kwani kikwete waziri mkuu wake alikua ni dini gani? Nyerere kwani hajawai weka akina warioba kuwa mawaziri wakuu wake ambao ni wakristu,.
 
1. TCU
2. NSSF
3. Uwanja wa mpira wa Taifa
4. Ofisi za Umma kuanza kuwa na hadhi
5. Mpango wa Elimu ya msingi MMEM
6. Mpango wa kupunguza umasikini MKUKUTA
7. Mpango wa kurasimisha biashara MKURABITA
8. Wakala wa Barabara TANROADS
9. Kusamehewa Madeni
10. MEMKWA
11. Kupandisha pato la Mtanzania kutoka dola 170 mwaka 1995 hadi dola 500 mwaka 2005 kwa mwaka (Ongezeko la Gross National Income per Capita)
12. TBC
13. Kuboresha huduma za Afya za hospitali xa serikali
14. Kuongeza shule za sekondari nchini mifano michache ni kama vile shule ya Kambangwa na Benjamin Mkapa Dar

15. VAT
16. NHIF

Mkapa alijenga Taasisi ambazo hadi leo tunanufaika nazo
Hahahaha, Mkuu watu wakiamua kukusema watasema tu
 
Duh!

Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!

Uyu mzee ni mnafiki Sana, na roho mbaya yake itakuja muumiza..
Kwaiyo kwake alitaka serikali iendelee kufanya biashara?? Itoe ruzuku kwa makampuni ya biashara badala ya kutoa huduma..Sorry to say ila nachelea kusema ni upuuzi
 
Hahahaha, Mkuu watu wakiamua kukusema watasema tu

Wengi wanachonga ngenga tu, bila kujua kuwa BWM aliifanyia nchi makubwa sana, Taasisi nyingi sana tunazonufaika nazo leo, Zina mkono wa BWM.

Legacy ya Mkapa haiishi kwenye vitu vinavyojengwa, bali inaishi kwenye taasisi zinazojenga vitu hivyo.

Yule Mzee aliamua kujenga taasisi zaidi kwa maana nchi ilihitaji zaidi taasisi au mifumo
 
Huwa anajilambalamba tu hajawahi kumfyatulia magu moja kwa moja na pia nimemsikia mara kadhaa akisifia sifia tu kwa mafumbo.
Akijaribu kanamtafuna na hilo analijua ,labda anavizia Magu amalize utumishi wa umma
 
Ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali, aliharibu uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!!

ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!

Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALIS and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!

Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake!!

By the way amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.

Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
Wewe huna maana naona unaongelea udini na hata tofauti ya ubepari na yjamaa huijui.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Emeeeeed

Back
Top Bottom