Gademu!!! this is what I call "case closed" kwani imejibu maswali karibu saba yaliyokuwa yananitatiza!! Thanks mkuu.. Mengine nakutumia kwenye PM.. maana ni too hot..
Bila kusahau Msatafa Mkullo alikuwa ndio Director wa NSSF hapo before , Kwahiyo alipoondoka aliacha watu wake wengi sana pale jikoni, kwahiyo madili yote ya kina RA yalikuwa yanapikwa na kupakuliwa na Vibaraka wa Mstaffa Mkullo.
Zawadi yake toka kwa RA ilikuwa ni Uwaziri wa Fedha