Jedwali la RA: Nani hayumo?

Katika kuyachunguza haya yote tusisahau kitu kimoja cha msingi. Historia ya Utawala wetu wa Tanzania tangia uhuru inaonyesha kuwa wanasiasa wetu hushikwa masikio na baadhi ya wafanyabiashara wachafu na wasafi.

Mfano: Mkapa alishikwa masikio na kina mzee Chande na cycle yake ya Freemansons, wakamfikisha kiama, wakatoa utu wake, wakamfumba macho, akageuza bunduki ya ulinzi wa uchumi wa Tanzania kuwa uuaji wa Uchumi.

Kikwete: Akawekwa na kina Rostam, at the time Kina Chande walikuwa wanamsupport Sumaye.Sasa Game Plan yote ya Utawala wa mheshimiwa ilikuwa mfukoni mwa mshikaji yaani Rostam. Wao ndio walikuwa HR wa serekali ya JK kwahiyo ukitaka kuandika mtirirko Just go to wizara ya utumishi na u paste appointment zote za mheshimiwa. Katika kuhakikisha wanamweka pembeni ya Domestic policy wakamtengenezea approach root iliyomfanya awe more Tanzania foreign policy salesman than a domestic policy decider.

Lakini tunayoyaona leo ni backlash kati ya Group la Rostam na kina mzee Chande and freemasons but what we are not ready to see is for Mheshimiwa ku switch side , maana ndio option laini aliyobakiza kwasasa which is the same dangarours kwa mandeleo ya Taifa kama yeye kuwa associated na RA. Bila kusahau hapo Mengi ni messenger wa kina mzee change kwasababu ni member wa freemansons usishangae hata uenyekiti wa CTI kaupataje that is another number chafu kwenye ngozi ya Kondoo we need to watch

Since kikwete he is in power Yupo katika postion nzuri sana yakusimama peke yake, for his own principles if he has one.

Principle hizo zitasaidia kumkimbia Rostam, Tatizo alilo nalo he has no one who is royal to him , all of the guys they are royal to RA.
Hivyo he has a chance to layout a platform kwa ajili ya uchaguzi wa 2010 kama nyezo mhimu kwa kikwete kujikomboa kutoka kwa RA
 
Yawezekana ili kuweza kuelewa nguvu za RA ni lazima tuchore jedwali moja.......

a. Wale aliowafadhili na kuwasaidia kushika au kudumisha nafasi za kisiasa.

MATOKEO:
1. Jakaya M. Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
2.Benno Malisa - (a) - Makamu Mwenyekiti- TAIFA, UVCCM
3.Sofia Simba - (a) - Mwenyekiti Taifa- UWT(CCM)
4. Prof. Juma Kapuya - Waziri wa Kazi & Maendeleo ya Vijana (Mbunge Urambo Magharibi)
5. Adam Malima - (a) - Naibu Waziri, NISHATI NA MADINI (Mbunge, Mkuranga)

b. Wale ambao wamewahi kuwa watumishi wake kwenye Vodacom.

MATOKEO:
1.Pius Msekwa - Vodacom B. - Makamu wa Mwenyekiti CCM (Bara)
2. William Ngeleja - Vodacom - Waziri wa Nishati na Madini

c. Wale ambao wametumika kwenye vyombo vyake vya habari
d. Wale wenye ushirikiano wa kibiashara.
Jina (Salva Rweyemamu);
kundi lake (c)
na nafasi yake ya sasa (Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais).

. Yawezekana kuna kitu ambacho tumekimiss kwa muda mrefu juu ya RA na nadharia niliyonayo yaweza kuthibitika kisayansi juu ya "asili ya nguvu yake".

Kama huna lolote unalojua; sit down and enjoy!

Hivi,RA NDIYE RAIS KIVULI?
 
2. Kapuya - A. (alisaidia kumfunga Rage, asigombee ubunge jimbo la jirani yake Kapuya & Patners kwenye migodi).

FMES!

FMES Mkuu heshima mbele..mbona huyo Prof namuona ni mtu poa tuu? Nilitokea kumjua wakati nasoma pale UDSM weakness yake kubwa ilikua ni kupenda uongozi na alijaribu sana kuingia katika uongozi pale UDSM ila aliishia ukuu wa idara tuu. Ila kwa uhakika ninajua anapenda madaraka, no question about that. Ila sina uhakika na uhusiano wake na RA, je waweza kufafanua ama ni tetesi tuu?
Naomba kuwakilisha..
 
Uhusiano wake ni na manji..ameshakaa kwenye board ya nssf huyu..
1+1=2
RA=KAGODA ,KAGODA=MANJI'S FATHER, MANJI= QUALITY GROUP, QUALITY GODOWNS=NSSF=KAPUYA.
Yani u dont have to be a genius in this game!!
 
Uhusiano wake ni na manji..ameshakaa kwenye board ya nssf huyu..
1+1=2
RA=KAGODA ,KAGODA=MANJI'S FATHER, MANJI= QUALITY GROUP, QUALITY GODOWNS=NSSF=KAPUYA.
Yani u dont have to be a genius in this game!!

Duu Kapinga unajua wengine tulikimbia umande :) enzi zile za upe..
Ila nashukuru kwa kukokotoa teleza. Nilisikia pia alivyoikamata tenda moja pale PPF..aaahh bana weee
 
Hivi, wakuu nataka kujua moja.. najua JK hana ubavu pamoja na joho alovaa..Je, nani kati ya Chande na RA mwenye nguvu zaidi ya mwenzake.. Who is Don Coleone!
 
Hivi, wakuu nataka kujua moja.. najua JK hana ubavu pamoja na joho alovaa..Je, nani kati ya Chande na RA mwenye nguvu zaidi ya mwenzake.. Who is Don Coleone!

hahahah Mkandara.. hili jedwali we ngoja.. kuna watu wengine wawili tutawachorea majedwali yao.. kuna kitu fulani hivi ambacho kinashangaza sana..
 
Hivi, wakuu nataka kujua moja.. najua JK hana ubavu pamoja na joho alovaa..Je, nani kati ya Chande na RA mwenye nguvu zaidi ya mwenzake.. Who is Don Coleone!

Huyo Chande na mkewe nilwahi kuwaona wakiingia kwenye ofisi moja nyeti na treatment yao ilikuwa ni ya zulia jekundu na ofisi yenyewe inajulikana kwa ugumu labda uwe Kiongozi mkuu wa nchi.
 
hahahah Mkandara.. hili jedwali we ngoja.. kuna watu wengine wawili tutawachorea majedwali yao.. kuna kitu fulani hivi ambacho kinashangaza sana..

Mbona sijamwona BWM na timu yake au kwa sababu yeye mstaafu? au hapa tunacheza na rais kivuli na timu yake tu?
 
Labda nisema kuwa si lazima wawwe wale walioko madarakani sasa tu bali hawa waliowahi kuwa madarakani. La maana ni kuonesha uhusiano wao na Rostam
 
Uhusiano wake ni na manji..ameshakaa kwenye board ya nssf huyu..
1+1=2
RA=KAGODA ,KAGODA=MANJI'S FATHER, MANJI= QUALITY GROUP, QUALITY GODOWNS=NSSF=KAPUYA.
Yani u dont have to be a genius in this game!!

amekaa kwenye board ya NSSF lini na kama nani? hebu fafanua hii
 
- Mkulu wangu Mwanakijiji, kumkoma nyani haiwezi ku-get better than this jedwali, thanks Mengi kwa kuanza na sisi wananchi sasa ni kuwafunua tu mafisadi,

- Ndio maana nilisema waliomtuma Makamba kulilia kichwa cha Mengi huko CC, hawakuwa wajinga, kumbe karibu wote huko CC wako kwenye payroll!

Mpaka kieleweke!

Kwenye list hebu waongezeni Tido Mhando na Prof. Mukandala wapiga polls za RA wakati wa kampeni za urais wa 2005, kwa kushirikiana na Kingunge, hawa wako kundi C.

Duh!
Hata Tido?
 
amekaa kwenye board ya NSSF lini na kama nani? hebu fafanua hii
let me make it easy 4 ur guys/sis, kapuya kwa kutumia position yake ya waziri wa kazi at that time etc, alimpendkeza Mkurugenzi wa sasa wa NSSF toka Bandari, na Humba wa NHIF, ambaye alitegemea kupanda toka Deputy DG wa NSSF akawa bypassed. NSSF ya Dau ndio ikampa deal Manji la Mkopo wa kujenga hayo majengo yake ambayo alikuja wauzia NSSF over 100% or more ya Bei aliojengea,Sasa cha zaidi ni kuangalia Board Members waliopitishwa au recommended na Kapuya Wakati wake.
Hadithi Yenyewe ndio Hiyo
 
Gademu!!! this is what I call "case closed" kwani imejibu maswali karibu saba yaliyokuwa yananitatiza!! Thanks mkuu.. Mengine nakutumia kwenye PM.. maana ni too hot..
 
Back
Top Bottom