Jedwali la RA: Nani hayumo?

Jedwali la RA: Nani hayumo?

hao ndio wanaoikamua nchi kinoma
mwaka 2010 tunawasubiri tuwaone sura zao zisizo na haya...
Bado wanaendelea saa hizi wana slogan ya wazo kabisa.

Jipimie jinsi urefu wa kamba yako utakavyokuruhusu.
 
Hakika JF ni mgodi mkubwa. Someni uzi ulioandikwa na Mzee Mwanakijiji 28 April 2009 pamoja na majadiliano kipindi hicho.

Majadiliano na mijadala katika hoja zilizojadiliwa bado ni moto moto.

Baadhi ya members waliochangia mjadala huu wametangulia mbele za haki ila maandishi na michango yao itashi na kusomwa vizazi mpaka vizazi vijavyo.

TUNASHUKURU SANA JF NA WOTE.

Credit kwa Mzee Mwanakijiji

min -me , GENTAMYCINE , Robert Heriel Mtibeli , britanicca , Pascal Mayalla , Erythrocyte , Moisemusajiografii ,Mamndenyi , dosho12 ,Nifah, cocastic.
 
Hakika JF ni mgodi mkubwa. Someni uzi ulioandikwa na Mzee Mwanakijiji 28 April 2009 pamoja na majadiliano kipindi hicho.

Majadiliano na mijadala katika hoja zilizojadiliwa bado ni moto moto.

Baadhi ya members waliochangia mjadala huu wametangulia mbele za haki ila maandishi na michango yao itashi na kusomwa vizazi mpaka vizazi vijavyo.

TUNASHUKURU SANA JF NA WOTE.

Credit kwa Mzee Mwanakijiji
Pascal Mayalla ,
Mkuu Matokeo Mabaya Adverse Effect , asante kukumbushia, ni kweli jf tumetoka mbali, karibu na mitaa hii Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?
P
 
Hivi kweli CHADEMA na FREEMAN MBOWE hawamo kwenye huu mtandao wa ROSTAM au wamesahaulika?
Hii imekaaje kulinganisha na hali ya sasa na yalitokea Chadema, Je! ni kweli Mbowe alikuwa anatoa hela zake mfukoni au kulikwa na mrija uliotumika kufifisha harakati?

Halafu baada ya kupigwa chini na chama makamu wake ambaye ni mwenyekiti mpya anashugulikiwa yeye akiwa kimya bila kujigusa.
 
Inawezekana Nchimbi hayuko hapo leo kwa bahati mbaya.
Hii imekaaje kulinganisha na hali ya sasa na yalitokea Chadema, Je! ni kweli Mbowe alikuwa anatoa hela zake mfukoni au kulikwa na mrija uliotumika kufifisha harakati?

Halafu baada ya kupigwa chini na chama makamu wake ambaye ni mwenyekiti mpya anashugulikiwa yeye akiwa kimya bila kujigusa.
Nimejiuliza hayo unayofikiria pia.
Kwa yanayotokea yote yanawezekana.
 
Back
Top Bottom