Je, wewe unajiuza? Jiulize maswali haya

Je, wewe unajiuza? Jiulize maswali haya

Hahaaaaaaa nimepata maksi nyingi hadi aibu mweeee Maboso umeniacha hoi hahaaaaaaa looo
 
Last edited by a moderator:
Umejipindaaaaaa na ulijari wako kuandika gazeti lisilo na picha ya kuvutia........Hapo unaona ajabu lol!!!!!!! watu tumefanya wonders mpka tumezawadia miradi ya maana sembuse hiyo vitz!!!!!

Halafu nyie ndo wale "maneno meeeeengi, vitendo sasa, zero" Si ajabu ukikutana na mwanamume hata kumtazama usoni huwezi.
 
WANAWAKE WENGI WANAJIUZA BILA KUJITANGAZA...JE WW UNAJIUZA...JIULIZE MASWALI HAYA.

  1. Umeshawahi kuwinda boyfrnd mwenye pesa?(Kama jibu ni ndiyo 10marks).
  2. Umeshawahi kuwahi kununa eti kisa jamaa hajiongezi? (If YES 5 MARKS)
  3. Ushawahi kutembea na mtu mzima kisa anahela? (If yes 5marks)
  4. Ulishawahi kumtema kidume kisa tu hana msaada kwako kifedha?(if YES 10marks).
  5. Ushawahi kumchuna mwanaume kisa unampa hapo miguu yako inapokutania? (If YES 20marks)
  6. Ushawahi kumpa kidume majukumu ya mzazi wako? Mfano baby nimekula ada naomba nsaidie/baby sjui nguo gani ninunulie..(if YES 10 marks).
  7. Ushawahi kwenda kwa mwanaume anapokuita mkadinyane ukiwa na matarajio ya kupewa nauli na vijisenti?(if YES 10Marks)
  8. Je ushawahi tegemea ela ya kidume wakati ww unakazi pia...kisa tu unampya kamtonyo kako??(if YES 5marks)
  9. Ushawahi kata mauno kwa bed kwa matarajio ya kumdatisha ili ukisema nataka vitz alete mark X? Au awe anahudumia sana? (if YES 10 Marks).
  10. Ushawahi kujisifu kwa wenzako kuwa hutaki kuhangaika na vijombaa vya chuo/kitaa visivyo na mkwanjaa??(if YES 10marks)
  11. Je, baada ya kusoma maswali yote hapo juu umekereka?? (If YES 5marks)

JIULIZE MOYONI EWE DADA KISHA JISAHIHISHIE MOYONI...KISHA SASA UKIONA UMEPATA HIVIII....JUA HIVIII.


  • 30-49 marks.....WEWE NI RETAILER.
  • 50-69---WEWE NI WHOLESALER.
  • 70-100---WEWE NI MANUFACTURER NA DISTRIBUTOR.

Igweeeeeeeeeeeeeeee amekwalifai hapa,
 
Hahaaaaaaa nimepata maksi nyingi hadi aibu mweeee Maboso umeniacha hoi hahaaaaaaa looo

Hahaaaa. Bila shaka mpango wako wa kupata Mark X ulifanikiwa.
 
Last edited by a moderator:
HahHahaaha nimejikuta nacheka kwa maandishi apo ati hhhhhhhh karibu nijaze page ati herufi a siioni.....watu wanavituko
 
mkicopy vitu muwe mnasema source.lol
 
Back
Top Bottom