Jiwe la gizani hiloooo hahaha
Distributor! shikamoo!
Wewe umepata A+
Hongera
yap!!! zaidi ya 100%.
ukiwa hood rat bana..u think to sell pu**y ni sifa..? wtu wengine bana..!!
Umejipindaaaaaa na ulijari wako kuandika gazeti lisilo na picha ya kuvutia........Hapo unaona ajabu lol!!!!!!! watu tumefanya wonders mpka tumezawadia miradi ya maana sembuse hiyo vitz!!!!!
jibu ka unaweza..Uuuuh!!!!!! nikutakie j2 sijisikii kukujibu vby..
nipe zawadi basi.
Mkuu kama huwezi kukomenti ni bora ukapita tu kama mimi,
kuandika "sawa" ina maana yakwamba umekubaliana naye huwanga unajiunza wakati wewe ni me.