Je, wewe unajiuza? Jiulize maswali haya

Je, wewe unajiuza? Jiulize maswali haya

.....hayo maelezo yanachekesha!!!Nimechekaje!
.....Ila mdada makini kuna vipengele hapo ni muhimu kuangalia, hasa namba 4... kisa cha kuwa na mpenzi/mume bahili?
 
Hahahaaaa nikiingiaga jf lazima nicheke hata kama nlikua nmechukia

watu wanahangaika na kutafuta kila aina ya justification, ila ukweli utabaki palepale 'money is allmost everything', wasokuwa nazo sasa wanahaha hatari.
 
watu wanahangaika na kutafuta kila aina ya justification, ila ukweli utabaki palepale 'money is allmost everything', wasokuwa nazo sasa wanahaha hatari.

Hahahaaaa mkuuu
 
Hahahaaaa mkuuu

wanatoa tu na walaa hawawazi maana zipo, wale za mawazo sasa nfio balaa maana akitoa kilo anaumwa vidonda vya tumbo maisha, mwanamke gharama ati!!! ndio kula kwa jasho huko, hutaki unaruhusiwa kujicameroon lol!!
 
Nipe takwimu za wanaume wa kitz ambao kweli pesa zao sio za kuwazia...! Kwa vipato hivi hivi...mmmh! Labda kama watoka JR azawaiz..!
 
Umejipindaaaaaa na ulijari wako kuandika gazeti lisilo na picha ya kuvutia........Hapo unaona ajabu lol!!!!!!! watu tumefanya wonders mpka tumezawadia miradi ya maana sembuse hiyo vitz!!!!!

Distributor! shikamoo!
 
Ila ukiwa na pesa huwazi kuchunwa. Unazitoa tu kwa ufahari, tena unazitoa bila kukumbuka na unasahau, unamuacha mwanamke ndiyo anaangaika. Ila kama huna pesa, kila mwanamke atakachokufanyia utawaza mengi mara anauza/ananiuzia mambo kibao. Hata ukiombwa hindi tu utawaza mengi sana.

Hahahahaaah,eti akiombwa hindi tu,anawaza meengiii……!!!
 
Nipe takwimu za wanaume wa kitz ambao kweli pesa zao sio za kuwazia...! Kwa vipato hivi hivi...mmmh! Labda kama watoka JR azawaiz..!

umenielewa sema tu una lako jambo!
 
Back
Top Bottom