nelaizer
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 818
- 284
0 - 29 marks....WEWE ni NORMAL kabisaaa!
Hahaha umemaliza
0 - 29 marks....WEWE ni NORMAL kabisaaa!
Umejipindaaaaaa na ulijari wako kuandika gazeti lisilo na picha ya kuvutia........Hapo unaona ajabu lol!!!!!!! watu tumefanya wonders mpka tumezawadia miradi ya maana sembuse hiyo vitz!!!!!
hahahhahahhhahh like like
le manufacturer wapo
wengi sanaaaaa lol
mjini humu survival is for the fittest..
habar za kukaa unambwela bwela za nini wakati ukideka tu unatunzwa...
Mkuu tinna cute marks zimegota 100 nn?
Umejipindaaaaaa na ulijari wako kuandika gazeti lisilo na picha ya kuvutia........Hapo unaona ajabu lol!!!!!!! watu tumefanya wonders mpka tumezawadia miradi ya maana sembuse hiyo vitz!!!!!
yap!!! zaidi ya 100%.
Manufacturer and Distributor..... U deserve... Hongera sana....😕😕😱😛🙄🙁😀
thanx darlng
Malinda yapo?!
Hizo mbinu umerithi au umeiga kutoka uraiani.
Mi nnavyojua tunajifunza kitoka kwa wazazi.
Thats why my love on U flourish ever....... I love U most....
Marinda yapo salama salmini........
Sa unauliza mbinu zikusaidie nn au na ww uko kikazi zaidi.......
Be hamble like your pretty mother plse.
Kula like kiongozi!!
Wengi wapo mjini kikazi zaidi..
I will kaka jambazi.......