Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,163
- 5,766
Wanawake wengi wanajiuza bila kujitangaza je wewe unajiuza. Jiulize haya maswali.
Jiulize moyoni wewe dada kisha jisahihishe moyoni kisha ukiona umepata hivi jua hivi
- Umeshawahi kuwinda boyfrnd mwenye pesa?(Kama jibu ni ndiyo 10marks).
- Umeshawahi kuwahi kununa eti kisa jamaa hajiongezi? (If YES 5 MARKS)
- Ushawahi kutembea na mtu mzima kisa anahela? (If yes 5marks)
- Ulishawahi kumtema kidume kisa tu hana msaada kwako kifedha?(if YES 10marks).
- Ushawahi kumchuna mwanaume kisa unampa hapo miguu yako inapokutania? (If YES 20marks)
- Ushawahi kumpa kidume majukumu ya mzazi wako? Mfano baby nimekula ada naomba nsaidie/baby sjui nguo gani ninunulie..(if YES 10 marks).
- Ushawahi kwenda kwa mwanaume anapokuita mkadinyane ukiwa na matarajio ya kupewa nauli na vijisenti?(if YES 10Marks)
- Je ushawahi tegemea ela ya kidume wakati ww unakazi pia...kisa tu unampya kamtonyo kako??(if YES 5marks)
- Ushawahi kata mauno kwa bed kwa matarajio ya kumdatisha ili ukisema nataka vitz alete mark X? Au awe anahudumia sana? (if YES 10 Marks).
- Ushawahi kujisifu kwa wenzako kuwa hutaki kuhangaika na vijombaa vya chuo/kitaa visivyo na mkwanjaa??(if YES 10marks)
- Je, baada ya kusoma maswali yote hapo juu umekereka?? (If YES 5marks)
Jiulize moyoni wewe dada kisha jisahihishe moyoni kisha ukiona umepata hivi jua hivi
- 30-49 marks wewe ni retailer
- 50-69 Wewe ni Wholesaler
- 70-100 Wewe ni manufacturer na distributer