ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
- Thread starter
- #61
Basi kwa ufupi tu tutazame katika hivi vipengele viwili kwa hapa duniani, uongozi na sayansi/wanasayansi.kwa kitakwimu akili ziko normally distributed kwa pande zote mbili - ke na me.
Yaani wako wenye akili nyingi, wastani na kidogo.
Lakini wanawake wako smarter kuliko wanaume (ref: harry belafonte - women are smarter than men)
Mrejesho ni upi kati ya wanawake na wanaume ?
Kumbuka wingi wa population ya dunia ina ongozwa na wanawake.